mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,033
- 2,123
Hawa jamaa ni deci sema wao wako online tu na wanamipango kuvuna $200,000,000 kutoka kwa watanzania zaidi ya 200,000 ,huko brazil kimeshanuka jamaa kakamatwa the telexfree boss sasa viongozi msije sema hamkujua nini kinaendelea si mnasubiri mambo yawe tight