hivi majuzi rais wetu alisema eti watanzania wanapenda sana bodaboda.
swali langu ni hili>
Hivi kweli raisi wa nchi hajui kwanini watanzania wanatumia usafiri wa bodaboda?
hivi ndio sababu iliyopelekea rais kununua bodaboda kwa ajili ya usafiri wa wagonjwa?
mpaka sasa bodaboda zinaongoza kwa vifo vya watanzania wengi kila siku je hili rais halioni?

Huyu hata akirudi mara 100, hatabadilika. Ndivyo alivyo.Ushauri wa bure kwa JK: ARUDI LOLIONDO
Wamekomaa na suala la ambulance za pikipiki hadi mkulo kaziondolea kodi.swali la kujiuliza ni kuwa bajaj na mjazito katika barabara gani? Na nafasi ipi ya kumpa muuguzi anayemhudumia? Tuwe realistic na uhalisia wa mazingira yetu