Watanzania wanaomtumia matatizo yetu Mange Kimambi kwa kujificha ndiyo njia ya kuyatatua kweli?

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,354
Watanzania wengi wanamtumia Mange Kimambi kila tatizo la nchi hii huku wakiwa wamerekodi video au audio na wakimuomba dada huyo afiche namba zao au ID zao kwa hali hiyo kweli watanzania hawa wanazijua njia za kutatua matatizo yao ndani ya nchi yao wenyewe au ni njia ya tu kuivua nchi nguo kimataifa? hata kama matatizo hayo kweli yapo?

sijaelewa nia hasa ya watu hawa ni nini? kwanini wasiwe wazi tu katika maeneo yao wanayoishi kuhusu matatizo yao mpaka wapeleke nje ya nchi tena kwa kujificha?
 
Siku hizi hoja hujibiwa kwa
tapatalk_1507481681414.jpeg

Ndio maana wananchi wameamua kumtumia Mange kusema ambayo wangesema wao wangenyamazishwa kwa mtindo huo hapo juu
 
moja ya hatua katika kutatua matatizo ni
'problem identification'
alietangaza njaa alilala lupango
aliyetaja vitendo vinavyoliingiza taifa hasara
alikula risasi..
alietangaza zika alifutwa..
kwa namna yoyote wacha tuyatambue matatizo yanayoliingiza taifa gizani..
masuluhisho yatafata siku mafisadi njaa yaking'oka ikulu inapopang'ang'ania kwa risasi na vifaru.
 
MKUU UPO DUNIANI KWELI AU UMEPOST HUU UZI UKIWA KUZIMU

yaani watu wanapotea katka mazingira tatanishi nampaka leo haijulikani walipo ..miili ya baadhi ya watu inaokotwa kwenye viroba ktk fukwe za bahari na serikali inashindwa kutoa majibu stahiki kuhusu hiyo miili kisha wanaruhusu izikwe pasipo kuichukulia vipimo vya DNA ili watu waliowapoteza Jamaa zao wapate kutokuwa na mashaka kuwa zilimaiti sio za ndugu zao lakini serikali inashindwa kufanya hivyo pia ..

watu wakiihoji serikali juu ya mwenendo uliopo nchini wanafikishwa mahakamani .nawengine kuishiwa kuhojiwa police
watu wanatekwa mchana kweupe ..

KISHA WEWE UNAHOJI KWANINI WASIWE WAZI NAKUTOA HOJA ZAO TOKA MAENEO WANAYOISHI ...!!? mkuu unamapenzi kweli na hao unaojaribu kuwashauri hivyo
 
Yupi wa kuanzisha jitihada za kuwang'oa mafisadi kwa risasi au vifaru,hawahawa wanaolialia,thubutu!!!
 
Tabu viongozi wengine majipuuuuu na polisi hawaaminiki.. wananchi wakishitaki kitu.. wengi ndio inakuwa mwanzo wa matatizo.. na majuto juu huku tatizo halitatuliwi.

Kuna njia nzuri tu na salama.. nashangaa serikali au niseme viongozi hawaziweki.. naamini wananchi watazitumia kwa raha zao bila wasiwasi.
 
MKUU UPO DUNIANI KWELI AU UMEPOST HUU UZI UKIWA KUZIMU

yaani watu wanapotea katka mazingira tatanishi nampaka leo haijulikani walipo ..miili ya baadhi ya watu inaokotwa kwenye viroba ktk fukwe za bahari na serikali inashindwa kutoa majibu stahiki kuhusu hiyo miili kisha wanaruhusu izikwe pasipo kuichukulia vipimo vya DNA ili watu waliowapoteza Jamaa zao wapate kutokuwa na mashaka kuwa zilimaiti sio za ndugu zao lakini serikali inashindwa kufanya hivyo pia ..

watu wakiihoji serikali juu ya mwenendo uliopo nchini wanafikishwa mahakamani .nawengine kuishiwa kuhojiwa police
watu wanatekwa mchana kweupe ..

KISHA WEWE UNAHOJI KWANINI WASIWE WAZI NAKUTOA HOJA ZAO TOKA MAENEO WANAYOISHI ...!!? mkuu unamapenzi kweli na hao unaojaribu kuwashauri hivyo
Nipo mkuu wangu na hayo yote nayasikia kama unavyoyasikia.

Pamoja na hayo yote unayosema mkuu mimi bado kwangu hiyo ndiyo njia sahihi ya kutatua matatizo yenu ktk maeneo husika.

Kwasababu sijasikia kama kuna lolote kwa huyo Mange analolifanyia kazi kwasababu Mange si Mamlaka yoyote ile ndani ya nchi hii kwa mtazamo wangu zaidi ya kuonekana mpiga kelele tu na washibiki wa kujificha wasijulikane.

Na matatizo yetu kama nchi hatuwezi kuyatatua kwa njia kama hiyo kwanza kwangu mimi huo ni ujinga kabisa na inaonesha elimu zetu hazijatusaidia wala kutukumboa kifikra kabisa.

Lazima tuwe na mifumo ya ku identify matatizo yetu na kupanga mikakati jinsi ya kuyatatua kama jamii ya watanzania kwa uwazi na ukweli lakini si kwa kujificha.
 
Tabu viongozi wengine majipuuuuu na polisi hawaaminiki.. wananchi wakishitaki kitu.. wengi ndio inakuwa mwanzo wa matatizo.. na majuto juu huku tatizo halitatuliwi.

Kuna njia nzuri tu na salama.. nashangaa serikali au niseme viongozi hawaziweki.. naamini wananchi watazitumia kwa raha zao bila wasiwasi.

Duh! baby umehamia UKAWA nini?

Au umeamua kumwaga mboga leo?
 
Nipo mkuu wangu na hayo yote nayasikia kama unavyoyasikia.

Pamoja na hayo yote unayosema mkuu mimi bado kwangu hiyo ndiyo njia sahihi ya kutatua matatizo yenu ktk maeneo husika.

Kwasababu sijasikia kama kuna lolote kwa huyo Mange analolifanyia kazi kwasababu Mange si Mamlaka yoyote ile ndani ya nchi hii kwa mtazamo wangu zaidi ya kuonekana mpiga kelele tu na washibiki wa kujificha wasijulikane.

Na matatizo yetu kama nchi hatuwezi kuyatatua kwa njia kama hiyo kwanza kwangu mimi huo ni ujinga kabisa na inaonesha elimu zetu hazijatusaidia wala kutukumboa kifikra kabisa.

Lazima tuwe na mifumo ya ku identify matatizo yetu na kupanga mikakati jinsi ya kuyatatua kama jamii ya watanzania kwa uwazi na ukweli lakini si kwa kujificha.
dhamira yako nzuri mnooo tena sana lakini hao ambao wanaopaswa kusimamia hiyo mifumo yaku identify matatizo yetu ndio wamechagua kutotaka kuambiwa mkuu ..sijuzi tu hapa palikuwa na sakata La kakobe au umesahau mkuu wangu..KAKOBE ALIAMUA KUTUMIA NJIA STAHIKI KAMA HIYO AMBAYO UNAISEMA WEW
LAKINI YALIYOJIRI NADHANI SINA HAJA YAKUKUMBUSHA ..
VIPI KUHUSU YULE KIJANA WA UDSM ALIYEPOST KUHUSU NYUFA YA ZILE HOSTEL""
NADHANI DETAIL ZAKE UNAZO ""

sasa wataka hao watu watumie njia zipi !?
ikiwa hizi ambazo wewe unayezishauri Tayari watu wamesha zitumia na matokeo yake ndio yamekuwa hayo
 
Siku hizi hoja hujibiwa kwa
View attachment 674729
Ndio maana wananchi wameamua kumtumia Mange kusema ambayo wangesema wao wangenyamazishwa kwa mtindo huo hapo juu
asante sana hilo ndio jibu la huyo mnafiki!!!!! sijui katumwaaaa ama???? kuna watu wengine sijui km wanatumia ubongo ama akili kuleta maada hapa!!! laiti tungekuwa tunajuana....uso kwa usonafikiri wengine tungewapunguzatu humu jf!!! aliyeanzisha maada hiii ni msenge!!!!! tena wa hali ya juu!!! anajifanya haoni yanayoendelea nchini?????
 
Back
Top Bottom