Watanzania wanamjua Dr. Munga?

Ukiamua kusema ukweli useme yote, useme na jinsi alivomtelekeza lisu kwenye mapambano ya madini
 
UVCCM WATAKUJA KUSEMA KUWA ANACHANGANYA SIASA NA DINI, WANASAHAU KUWA HATA MAMA RWAKATARE NI MBUNGE NA MCHUNGAJI ANAYEMILIKI KANISA
 
Maaskofu wetu wamechagua kuwa upande wa shetani na kumwacha Mungu!
 
Masahihisho kidogo, Lund University iko Mji wa Malmo nchini Sweden. Ni chuo kizuri sana. Kina ushirikiano na baadhi ya vyuo hapa Tanzania. Kuna kozi moja nilisoma hapo ktk taasisi ya IIEEE.
 
Anastahili kuwa mkuu wa Kkkt huyu hapepesi macho hana muda wa kulamba miguu wanasiasa au watawala waovu wanaonyonya damu za wananchi wao
Wanaoteka na kutesa wanaosema kweli .wanaopiga Risas wenye fikra na maoni tofauti na yakwao watawala
Hongera Askofu Dr Munga mm ni kati ya wale wanaofuatilia hatua kwa hatua maoni ,harakati,waraka na mahubiri nk toka kwako.
 
Daktari Munga, Stephen tunafahamiana vizuri. Nimefanya naye kazi za kujitolea kwa zaidi ya miaka 6. Ni miongoni mwa watu wanaoitwa 'careless whisper'. Kama walivyo wapare wengine, Daktari Munga ni mnafiki katika kiwango cha juu lakini ni mtu anaye fiche sana unafiki wake. Ukizoeana naye utamjua kuwa ni mtu wa kupenda majungu. Hana msimamo wowote ila hupenda show-off/showcasing kwenye public. Daktari Munga ana tabia kama za Reginald Mengi za kujificha tabia yake binafsi zisijulikane kwa garama yoyote ile. Daktari Munga, Askofu wa Dayosis ya Kaskazini mashariki (KKKT) ana tabia ya kujipendekeza sana kwa wazungu, kama Jakaya Kikwete. Na akiwa mbele ya wazungu unafiki wake ndio unadhihiri. Zaidi ya yote Daktari Munga, Stephen ni Lowasa bug. Ni key person wa Lowasa katika Kanisa la KKKT. Kwa tunayemjua nje ya kanisa lake, Daktari Munga hafai uongozi kwenye public office.
 
Mfano amefanyaje?
 
Picha za chuo kikuu cha SEKOMU zikionesha mazingira mazuri kama huko Uholanzi na Uswizi please.

Though, Hongera zake

And Dr Munga is one of the founders... Mandari nzuri sana
 
Una chuki na Wapare?
 
Bongo bana! Ikikosoa serikali kidogo basi wewe msomi, haya Munga.
 
Kwa bahati mbaya sana watoto wake wana matatizo ya kiafya, ila jamaa Yuko vizuri Sana upstairs. Ni Msambaa wa Mlalo, eneo moja maarufu kwa tunguli, ila Damu ya Kristo ilimuweka huru.
 
Kwa bahati mbaya sana watoto wake wana matatizo ya kiafya, ila jamaa Yuko vizuri Sana upstairs. Ni Msambaa wa Mlalo, eneo moja maarufu kwa tunguli, ila Damu ya Kristo ilimuweka huru.
Matatizo yapi mkuu au haya ya kinga??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…