Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
UVUMILIVU WA AJABU HAIJAWAHI TOKEA......
Hivi kumbe Chama cha Mapinduzi CCM ndicho kilikuwa madarakani katika kipindi chote cha miaka zaidi ya 20 ya makinikia na IPTL ....!!!?? Halafu kumbe CCM hiyohiyo ndiyo bado iko madarakani hadi Leo...!!!?
Duh.....Aisee watanzania Wana uvumilivu wa ajabu sana.....Yaani Wana mapenzi zaidi na chama kuliko mapenzi na nchi yao.. Kule Venezuela hawawezi kuruhusu ujinga huo....Wangeshaipiga chini CCM,