kweli maCCM wana macho lakini hawaoni.Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu
Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu
Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika
Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu
GM
Kisutu Dsm
Polisi laazima watawanye vibaka na waporaji waliovaa nguo za Chademakweli maCCM wana macho lakini hawaoni.
ukitaka kujua nguvu ya CDM, angalia polisi walivyotawanywa mji mzima
kama mnadhani CDM hawana nguvu kwa nini mlitawanya maPOLICCM mjini?
#NoReformsNoElection
mbona hiyo ni cost sharing tu, hauna BIMA?(uzembe wako) ulitaka iwe shs ngapi? hizo huduma zitajiendeshaje kama unataka iwe ni bei ya ku-bagain kama vile umenda kwa sangoma.Kmmke chadema oye no reform no electricity 😂 muhimbili matibabu ni bei juuu naandila nikiwa on bed mhmbili
Mungu yupo kazini bse His justice neversleeps,majinu yake mtayapata soonNguvu ya umma imeishia wap?
Mikwara kibao kumbe watoto lainii
Watanzania tunaipenda chadema acha kujidanganya. Police wanaumiza watu ndio maana watu wanaogopa kujitokeza. Acheni watu wawe huru uone patakavyofurika watu pale kisutu....
Kwa hiyo unafikiri watanzania wanaipenda ccm au sio?
Mungu yupo kazini bse His justice neversleeps,majinu yake mtayapata soon
Kwa hiyo wakikamatwa na kuumizwa ndo tunakuwa wanafiki au sio?Mnaipenda alafu viongozi wenu wanaumizwa na kukamatwa kama kuku? Acheni unafiki
Mzeebaba askari wanapiga watu ovyo unafikiri watu watajitokeza?
Wasipojitokeza we unahisi wamewapuuza chadema. Haupo serious bro.
We mzee kwani we chama gani?Sasa nguvu ya uma iko wapi? Mlipaswa pale Kisutu muende lundo la watu ili kuzihirisha hiyo nguvu, mkiwa wengi hao polisi hakuna kitu watafanya huwa hamuoni wenzenu kule Kenya. Nyie ni wajinga na waoga kupindukia, mtaendelea kuburuzwa na CCM mpaka mtakapo jitambua.
Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu
Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu
Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni kujidanganya mnakubalika
Wananchi walikua wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na hawa Time na upumbavu wenu
GM
Kisutu Dsm
Wameishia kukamatwa Heche, Mnyika na Hilda Newton. Hao waliokuja na mabasi 48 sijui wameishia wapi? Ahahahahaha!!Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu