kwa kuwa wewe tunakujua ni kada wa ccm lazima useme wana hali nzuri . Ndo maana wa-tz mnaogopa kuanza kutumika kwa asilimia 100% kwa jumuia ya afrika mashariki. Mnajua hamtokua na chenu kutokana na kuwanyima wananchi wenu elimu !!!!
GAMA........... HIVI WEWE NI MZIMA KWELI...............AND YOU CALL YOURSELF "GREAT THINKER"..........??? YAANI HAPO UNAONA TATIZO LINATAZAMWA KWENYE AFYA TUUUUUUUUUUUU.........!!!!!!!!! Kumbuka uzima wa mguu hauwezeshi macho kuona............