AMANI YRTU NI MUHIMU KULIKO INTERNET KATIKA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI. it is security door against Peace distroyersTanzania ndio nchi ya Kwanza kufunga internet kwnye ichaguzi ???
Hivi serikali na idara zake zote hawana akili wewe ndio mjuvi sana auvipi ? Isaac Newton Ausio ?
Una lalamika sana jamaa kila siku unatukana wewe tuu
Kwanini unajibebesh Mzigo mkubwa sana kaka hama Nchi nenda Russia Au Canada wanataka watu kule
Haa😁😂😅😄😃😀😁😂Bongo tumepata Mobutu wetu mtuombee tu jamani
Internet Ipo kwa wingi..ila matumizi yake kueneza uhuni dhidi ya chaguo la watanzania ni marufukuAisee, yaani hadi na nyie mataga pia mmezimiwa internet? Baada ya mayai yote ambayo mlitagishwa?
Sasa Mr. Genius kwa nini Watanzania wapitie process mrefu ya ujinga ulioandika hapo. Si JPM afungue internet Watanzania waingie JF bila kupitia process mrefu ya ujinga. Afungue internet. Anafunga kwa nini?Those using Commercial VPNs are stupid..You are handing over your phone/computer's private data to hackers, pedophiles and extortionists all for hiding behind a keyboard to hurl insults to H.E Magufuli JP..
Stop Being stupid, Do this
1. Create a Vps on GCP/Azure/AWS
2. Install Debian or Centos
3. Download and configure either -
a)StrongSwan - don't use a passphrase instead create and sign your own Root Certificate (At least 4096 bit cert)
b) install Debian or Centos, Install and configure SoftEther VPN on your cloud VPS of choice. The advantage of this is that you can tunnel through DNS or ICMP bypassing TCP based firewall rules
To avoid all these hustles, stop being a cry baby come out in the open and insult H.E Magufuli openly without being a pussy. Die like a man
There is enough internet to watch porn in 8k Resolution. But there is zero internet to hide behind psedo names and undermine the popularly Elected president..H.E John Pombe Magufuli..Sasa Mr. Genius kwa nini Watanzania wapitie process mrefu ya ujinga ulioandika hapo. Si JPM afungue internet Watanzania waingie JF bila kupitia process mrefu ya ujinga. Afungue internet. Anafunga kwa nini?
For those who still want to hide behind keyboards and insult HE Magufuli JPM but still don't understand my message..Here is a simpler setup that doesn't risk your personal data being mined by commercial VPN cayotes..Those using Commercial VPNs are stupid..You are handing over your phone/computer's private data to hackers, pedophiles and extortionists all for hiding behind a keyboard to hurl insults to H.E Magufuli JP..
Stop Being stupid, Do this
1. Create a Vps on GCP/Azure/AWS
2. Install Debian or Centos
3. Download and configure either -
a)StrongSwan - don't use a passphrase instead create and sign your own Root Certificate (At least 4096 bit cert)
b) install Debian or Centos, Install and configure SoftEther VPN on your cloud VPS of choice. The advantage of this is that you can tunnel through DNS or ICMP bypassing TCP based firewall rules
To avoid all these hustles, stop being a cry baby come out in the open and insult H.E Magufuli openly without being a pussy. Die like a man
Siwacheki dadangu. Nawasilisha tu hoja yangu kuwa Tanzania hakuna demokrasia ya kweli. Hata Kenya hatuna demokradia ya kweli lakini huku kwetu hatujawahi kufanyiwa maovu mnayofanyiwa nyinyi. Nawaombeeni uhai na afya na ujasiri kwa wingi.Tony ni kweli kuna waliouliwa.na tunaogopa andamana sababu ya kuhofia uhai wetu.
Imagine ukiwaona watoto wako hata barabarani unaweza pata guts za kuingia?
Na pia usisahau magufuli na Uhuru ni ndege wafananao,uchaguzi wenu unakuja mmejiandaa vipi?
Unaweza ukawa unatucheka sisi kumbe kwenu kuna challenge kubwa inakuja zaidi ya sisi! Utajuaje?
Africa imejaa viongozi walafi wa madaraka,hatupaswi kuchekana Bali kukemea maovu.
Sema unajaribu kuturingia kuwa umesomea IT lakini hakuna Mtanzania anayeelewa madudu unayoandika hapa.For those pussys who still want to hide behind keyboards and insult HE Magufuli JPM but still don't understand my message..Here is a simpler setup that doesn't risk your personal data being mined by commercial VPN cayotes..
Simple..Install Zerotier SDN (software Defined Networking). It simple to use, no Root Certificates, No need for VPS.
uses DNS to punch through firewalls.
The caveat here is that you must have a node outside the Country to tap from
Halo kibiashara ni mbaya sana hii kitu sekta ya utalii kuanzia booking za usafiri malazi na sehenu za kutalii nk zinaathirika sana naona unaangalia upande mmoja wa shillingi. Watu kama nyie wagumu sana kuelewa ila mna kelele nyingi. Huo ni mfano mmoja tu mengine jaza mwenyewe ndio utaona hili jambo la kuzuia net halifai kabisa.Ndio haijalalishi,
lakini inaonesha sio jambo geni hata UK wamewah funga kwa mda mfupi (Nenda kagoogle) so relax mzee
Tukiachila internet, wewe ni Mtu wa kulalamika tuu kulalamika tuu kuhus serikali huoni unahatarisha afya ya Akili yako ??hivi
Na viberiti vya Kasuku vinatoka Nairobi, ,KenyaSisi hawa hawa hata stiki za kutolea uchafu kwenye meno zinatoka China ya kwel haya uanayoongea , acha kujisifia kwa vitu vya kijinga
Asante. Hakuna jinsi tufanyeje sasa?Siwacheki dadangu. Nawasilisha tu hoja yangu kuwa Tanzania hakuna demokrasia ya kweli. Hata Kenya hatuna demokradia ya kweli lakini huku kwetu hatujawahi kufanyiwa maovu mnayofanyiwa nyinyi. Nawaombeeni uhai na afya na ujasiri kwa wingi.
Hakuna hata mtu mmoja aliepoteza maisha?!Siyo rahisi kudanganya kwenye dunia hii ya utandawazi!
View attachment 1619563At least 11 shot dead ahead of Tanzania's presidential vote
ZANZIBAR, Tanzania (AP) — Police in Tanzania shot dead at least nine citizens amid unrest over alleged fraud ahead of the presidential election, a major opposition party asserted Tuesday, while officials denied it and one of Africa's most populous countries watched internet service slow to a crawl aapnews.com