Watanzania wamefungiwa Internet sababu ya Uchaguzi

Udaku tu huo. Na ndiyo uliosababisha kufungwa mitandao fulani fulani ya internet siyo internet yote. Official internet websites zinafanyakazi kama kawaida.
 
MSHASHINDA UCHAGUZI WENGINE WASHAAPISHWA NA HUWEZI KUPINGA SEHEMU YOYOTE MATOKEO KUTOKANA NA KATIBA MBOVU BADO MTU ANAFUNGIA MITANDAO UOGA UNATOKA WAPI MPAKA SASA HIV KILA MTU ANAJUA HABARI YA VPN
 
Nchi yetu tulilogwa na Nyerere

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Tanzania kutokuwa nchi ya kwanza duniani kuzima internet wakati wa uchaguzi haihalalishi Tanzania kuzima internet wakati wa uchaguzi
Ndio haijalalishi,
lakini inaonesha sio jambo geni hata UK wamewah funga kwa mda mfupi (Nenda kagoogle) so relax mzee

Tukiachila internet, wewe ni Mtu wa kulalamika tuu kulalamika tuu kuhus serikali huoni unahatarisha afya ya Akili yako ??
 
Hii mambo viongozi Africa inaeda ni kuigana tu, hiyo election inakuja kwenu mtajaribu hii kitu.
 
Hamkupigwa risasi kwa sababu nyie ni waoga. Hakuna mtu aliyejitokeza kuandamana. Tundu Lissu aliitisha maandamano lakini kila mtu aliogopa. Halafu sio kweli kusema kwamba hakuna mtu aliyepigwa risasi na polisi. Kuna watu wamepigwa risasi hapo TZ na video zipo mitandaoni.
Polisi wenu walikuwa tayari kuwamiminia marisasi ila kwa uwoga wenu mkakataa kuandamana.
 
Kwa hiyo kama serekali inafanya madudu tunyamaze kwa sababu ya kuhofia kuhatarisha akili zetu?
Usinyamaze mzee

Eg, Ukiwa Mwalimu usiwe unachapa chapa hovyo wanafunzi utaonekana huna akili vizuri kwa wanafunz na walimu wenzio, mambo mengine yanahitaji uelewa usifosi kuchpa wanafunzi kwnye kila jambo

Huku Mambo yanahitaji uelewa,
mengine yanahitaji uwe na exposure ya Mambo mbali mbali, Sometimea maono pia yanahitajika na Taarifa sahihi pia
 
Nashangaa ni vipi Wabongo wanashangilia CCM wakati inawapitisha kwenye madhila na mateso ya namna hii? Ni siku gani mtasema "po! CCM tumechoka kulawitiwa?"
 
Ndio haijalalishi,
lakini inaonesha sio jambo geni hata UK wamewah funga kwa mda mfupi (Nenda kagoogle) so relax mzee

Tukiachila internet, wewe ni Mtu wa kulalamika tuu kulalamika tuu kuhus serikali huoni unahatarisha afya ya Akili yako ??
Wacha kutetea maovu haya. Serikali yako haina haki ya kuwafungia internet. Mjifunze kupigania haki yenu, sio kukubali kila kitu.
 
Wacha kutetea maovu haya. Serikali yako haina haki ya kuwafungia internet. Mjifunze kupigania haki yenu, sio kukubali kila kitu.
Hahahh Eti Serikali yako haina haki ya kufungia, Mwenye hio haki ni Nani?

Umewah muona mchina ana account Facebook?

TikTok imepigwa marufuku USA Unafaham hilo alaf unakuja kutapik ugoro hapa kwamb Serikali haina Mamlaka ya kuzuia internet
 
Hii ndio ujinga mnaolishwa na media uchwara na bila kujiuliza mnabandika huu upuuzi, Zanzibar mtu aliyeuliwa na kuthibitika ni mtu mmoja pekee, sikiliza BBC na DW, wacha hivyo vijarida vya umbea.

By the way katika suala la uchaguzi, Zanzibar ina tume yake ya uchaguzi na Katiba yao, hatuingiliani. Zanzibar ni wabaguzi sawasawa na Kenya, wao huwa hawana tofauti na Kenya katika kuchinjana, tofauti ni kwamba idadi ya vifo Zanzibar huwa ni ndogo kulinganisha na Kenya
 
Warundi walirudi kwao ama bado wanangoja muandamane mpigwe risasi?
 
Haijawahi kuzimwa huko sababu hiyo technology ya kufanya hivyo hamna, Nigeria wenyewe hawana mtakua ninyi?

Ni Tanzania tu Africa ina technology ya kufreeze a specific app
Hahaha! Watanzania ni watu wa ajabu Sana

Tanzania inadaiwa billioni Mia moja kwa kuzima mtandao wa internet,Tcra imezitia kampuni Kama Google hasara kubwa Sana kwa muda waliozima Internet.

Endeleeni Ku freez, na nyinyi mtafriziwa
 
Nyie si ndiyo wakati kura zinaonyeshwa live Odinga anashinda mlizimiwa umeme nchi nzima,ulivyokuja kuwaka zikaonyesha Kibaki anashinda Wajaluo na Wakelenjin wakaanza kutembeza mapanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…