Watanzania wameamua!

Watanzania wameamua!

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
3,156
Reaction score
3,626
Habari wanajamvi!

Naam, hukumu imekatwa. Watanzania wameamua kwa dhati ya mioyo yao kuwa CCM wapumzike. Tanga kwa bashasha wamesema ni yeye! Kagera wamenena ya moyoni bila kificho kuwa ni yeye! Mara yote walisha kata shauri toka mwanzo wa kampeni kuwa ni yeye Tundu Lissu! Usukumani kwa umoja wao wamesema huyu waliye dhani anatosha kumbe hafai kuwa balozi wa nyumba kumi. Bariadi, Lamadi, Geita, Chato, Sengerema kote huko wamesema ni yeye. Mbeya, Katavi, Iringa, Njombe na Vitongoji vyake wamemkataa Magufuli.

Uchunguzi wangu umegundua kwamba watanzania wamemkataa Magufuli. Wapo wanao ipenda CCM lakini Magufuli amewakinai kabisaa. Sababu ni nyingi lakini mimi nitazibainisha chache.

Mosi, watanzania wengi wanakumbuka jinsi Magufuli alivyo waombea wawe masikini kwa kusema " NGUO ZENU ZINAZO WABANA ZITUNENI, MUDA SIYO MREFU MTAZIRUDIA". Hapa alikuwa anamaanisha kwamba atatubana Kimaisha mpaka tukonde, sasa ni zamu yake kukonda.

Pili, kiburi chake, jeuri yake na ujuaji mwingi vimemponza. Fikiria alivyo wajibu wahanga wa tetemeko la Ardhi Kagera, unadhani watanzania tumesahau? Fikiria alivyo wabomolea nyumba watu wa Kibamba, Kimara bila fidia unadhani watamsamehe? Never!!!

Tatu, watumishi Wa umma wana jambo lao! Tena walisha amua kitambo. Tarehe 28.10.2020 wanakwenda kuhitisha. Ng'ombe atachinjwa atakavyo kuwa amelala. Watumishi Wa Umma kwa umoja wao wamesema ni yeye.

Nne, Wafanyabiashara wamepanga na jambo limesha pangika. Magufuli out. Hawampendi Magufuli.

Tano, Magufuli hajatoa ajira kwa watoto wetu kwa muda wa miaka mitano! Lengo lake ni lile lile la kuwatia umasikini watanzania.SASA NI ZAMU YAKE KUIITA JERO SHILLING MIA TANO. Naam , ni zamu yake sasa !

Mwisho, tukapige kura na tuzilinde kwa umoja wetu. Mbeya wametuonesha kwa mfano effectiveness ya nguvu ya Umma.
 
Magufuli hana jipya tena atakuwa hovyo zaidi awamu ya pili.
 
Bila upinzani kuungana kwa dhati na kua na sera zinazo tekelezeka, CCM itaendelea kubaki madarakani kwa miaka mingi na kilasiku upinzani utaishia kuilakamikia tume ya uchaguzi.
 
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Ndio umemaliza mkuu?, Au kuna la ziada?
 
Mitano kwanza, Hakika ni Yeye...mtetezi asiyembaguzi wala kuonea mtu.....

Haki, Uhuru na Maendeleo ya watu ndiyo habari kuu kwa Watanzania walio wengi kwenye uchaguzi huu
 
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
CCM bhana!Hivi wanawezaje kukulipa posho kwa kuandika vitu simple namna hii?!au ni kwa sababu ni buku saba tu?
 
Bila upinzani kuungana kwa dhati na kua na sera zinazo tekelezeka, CCM itaendelea kubaki madarakani kwa miaka mingi na kilasiku upinzani utaishia kuilakamikia tume ya uchaguzi.
Wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani. CCM hawatoboi this time hata wafanye nini! Take it from me.
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Tafuteni kazi ya kufanya,hii ya kumpamba aliyechafuka mwisho mwezi huu
 
Habari wanajamvi!

Naam, hukumu imekatwa. Watanzania wameamua kwa dhati ya mioyo yao kuwa CCM wapumzike. Tanga kwa bashasha wamesema ni yeye! Kagera wamenena ya moyoni bila kificho kuwa ni yeye! Mara yote walisha kata shauri toka mwanzo wa kampeni kuwa ni yeye Tundu Lissu! Usukumani kwa umoja wao wamesema huyu waliye dhani anatosha kumbe hafai kuwa balozi wa nyumba kumi. Bariadi, Lamadi, Geita, Chato, Sengerema kote huko wamesema ni yeye. Mbeya, Katavi, Iringa, Njombe na Vitongoji vyake wamemkataa Magufuli.

Uchunguzi wangu umegundua kwamba watanzania wamemkataa Magufuli. Wapo wanao ipenda CCM lakini Magufuli amewakinai kabisaa. Sababu ni nyingi lakini mimi nitazibainisha chache.

Mosi, watanzania wengi wanakumbuka jinsi Magufuli alivyo waombea wawe masikini kwa kusema " NGUO ZENU ZINAZO WABANA ZITUNENI, MUDA SIYO MREFU MTAZIRUDIA". Hapa alikuwa anamaanisha kwamba atatubana Kimaisha mpaka tukonde, sasa ni zamu yake kukonda.

Pili, kiburi chake, jeuri yake na ujuaji mwingi vimemponza. Fikiria alivyo wajibu wahanga wa tetemeko la Ardhi Kagera, unadhani watanzania tumesahau? Fikiria alivyo wabomolea nyumba watu wa Kibamba, Kimara bila fidia unadhani watamsamehe? Never!!!

Tatu, watumishi Wa umma wana jambo lao! Tena walisha amua kitambo. Tarehe 28.10.2020 wanakwenda kuhitisha. Ng'ombe atachinjwa atakavyo kuwa amelala. Watumishi Wa Umma kwa umoja wao wamesema ni yeye.

Nne, Wafanyabiashara wamepanga na jambo limesha pangika. Magufuli out. Hawampendi Magufuli.

Tano, Magufuli hajatoa ajira kwa watoto wetu kwa muda wa miaka mitano! Lengo lake ni lile lile la kuwatia umasikini watanzania.SASA NI ZAMU YAKE KUIITA JERO SHILLING MIA TANO. Naam , ni zamu yake sasa !

Mwisho, tukapige kura na tuzilinde kwa umoja wetu. Mbeya wametuonesha kwa mfano effectiveness ya nguvu ya Umma.
Meko kubali yaishe uondoke kwa heshima
 
Back
Top Bottom