Watanzania waliosoma Havard

halafu ni wachache waliosoma bussiness school hapo...from Tz...
anyone you know?

I know two of them,mmoja ni mdada na mwingine ni mkaka!they are young around 27-30 hivi!wamesoma business school @ Harvard!
 
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
harry m. kitillya TRA commissioner general class 1991 business leadership
 
Ngoja nami nitafute pakutokea....Wakuu nami nimesoma pale Degree ya Kilimo Kwanza
 
Suala sio kusoma au kuhudhuria bali ni kuelimika . Unakuta mtu amesoma Harvard na hajaelimika anaishia kuwa fisadi wa mali ya umma yaani mwizi . Anafikia kuiba fedha za umma ambazo ingetumika kununua mudawa na kuokoa vifo vya akina mama na mtoto .
 
yeah. Definetely, I know this guz came at NM-AISTlast year 2thru one prof from Korea, lectured on robots and ethics.
 
Last edited by a moderator:
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Wapo wengi sana mkuu ,hata vijana wetu wa pale umenyeni (Iliboru ) walikuwa wanapata scholarship ila siku hizi naona watakuwa wanapewa vijana wa wazee wa chama . Wengine wamerudi bongo wanasaidia ujenzi wa taifa.
PAULSEN MRINA
STEVEN HABAKUKI
SARA CHECHE
 
tehe tehe. . . . . . . . hapa ndipo vilaza tunapoponeaga!

Hebu niambie degree ya Havard inasaidia nini kama haina mchango kwa Taifa na jamii kwa ujumla.Nataka iwe na mafanikio kwa jamii kwanza.Mafanikio yako tuyaone bila hata ya kuingia kwenye siasa.Maana kwenye siasa hata asiye genius hugeuka ghafla kuwa genius
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…