Watanzania waliosoma Havard

Bill gates alipoamua kuacha kumalizia degree yake hapo Havard nikaona kusoma saana kwa mtu kwenye akili nyingi ni kupoteza muda.. ila kwa sisi tunaosoma tupate ajira ama kupadishwa vyeo ni kitu muhimu sana.
 
Hao wote wa tz waliyosoma havard wameifanyia sana maajabu tz wameipashia sana

Ova
 
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...

kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Mimi pia nipo kwenye list
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…