Hakuna Mtanzania hata mmoja huko. Na kama alienda huko bas alienda kisiri ili kujifunza Ugaidi. Kwani miaka yote nchi hiyo ilikuwa kwenye vita. Je yeye alifurahishwa nini kwenda nchi ya hatari kama hiyo?Wiki hii tumeshuhudia rabsha za hapa na pale nchini Afghanistan , jeshi la serikali ya Afghanistan limeshindwa kuwakabili wahuni wa Taleban wasiojua kukata tamaa au kushindwa , wanajeshi karbia wote wa Afghanistan walikimbia na Raisi wao pia akachochora...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna watu wana majibu mazuri kweli.Kuna mdau RT ameipongeza Taliban kwa kuingia mkataba na USA wa miaka ishirini, kutengeneza na kuiendeleza Nchi yao pamoja na kuwapa vifaa vya kijeshi bila kulipa deni.
Akili za Vijana wa kijani hizi, watu walikuwa wanazamia mpk kwa mungiki unadhani maisha Ni bongo tuHakuna Mtanzania hata mmoja huko. Na kama alienda huko bas alienda kisiri ili kujifunza Ugaidi. Kwani miaka yote nchi hiyo ilikuwa kwenye vita. Je yeye alifurahishwa nini kwenda nchi ya hatari kama hiyo?
Sawa, je tukiona Mzungu, Mchina na Muhindi wameenda huko?Ukiona mtanzania ameenda huko ni wale wanajificha kwenye dini kumbe wameajiriwa kujiunga na makundi ya kigaidi
Sawa, je tukiona Mzungu, Mchina na Muhindi wameenda huko?
Kutokana na Taliban kusupport Al-Qaeda, Marekani walivamia Afghanistan mwisho wa mwaka 2001. Lengo lao lilikua kuwafurusha Taliban nje ya Afghanistan na kutengeneza serikali mpya baada ya ile ya zamani kutwaliwa na Taliban.Hivi Pale Afgan kuna nn kingine pengine kuna kitu cha mhimu zaidi hatukijui...Mimi siamini mmarekani azamie tu pale pasi na sababu...
Na imewashinda 😀 , urusi walilost Zaid ya askar 15000 , aisee hawa jamaa ni amsha, sema mmarekani mbishi atawatengenezea kikundi kingine cha kuwa-harras wataleban...!!only kama ataona bado kuna benefit AfghanistanKutokana na Taliban kusupport Al-Qaeda, Marekani walivamia Afghanistan mwisho wa mwaka 2001. Lengo lao lilikua kuwafurusha Taliban nje ya Afghanistan na kutengeneza serikali mpya baada ya ile ya zamani kutwaliwa na Taliban.
Ukizingatia muda Marekani imetumia kuisambaratisha Taliban, pesa zilizotumika na wanajeshi waliofariki halafu ulinganishe na speed Taliban waliochukua kuirejesha Afghanistan mikononi mwao ni kituko na aibu kwa Marekani.Na imewashinda 😀 , urusi walilost Zaid ya askar 15000 , aisee hawa jamaa ni amsha, sema mmarekani mbishi atawatengenezea kikundi kingine cha kuwa-harras wataleban...!!only kama ataona bado kuna benefit Afghanistan
Si bure mkuu, there is something behind, time will tell.Ukizingatia muda Marekani imetumia kuisambaratisha Taliban, pesa zilizotumika na wanajeshi waliofariki halafu ulinganishe na speed Taliban waliochukua kuirejesha Afghanistan mikononi mwao ni kituko na aibu kwa Marekani.
Kwa vyovyote vile kuna unafki amefanyiwaUkizingatia muda Marekani imetumia kuisambaratisha Taliban, pesa zilizotumika na wanajeshi waliofariki halafu ulinganishe na speed Taliban waliochukua kuirejesha Afghanistan mikononi mwao ni kituko na aibu kwa Marekani.