Watanzania Waliofariki Hijja Wafikia 8

Watanzania Waliofariki Hijja Wafikia 8

Hiyo ndio Imani bana,ukiingia kiundani sana unaweza kufikia muafaka kuwa hawa jamaa ni machizii! ila ukweli ni kuwa uislamu unatakiwa uuamini na kuufuata bila kuhoji chochote na kama wangeruhusu kuhoji na kukosoa kwa wazi hii dini isinge enea kabisa. Kizuri ni kuwa ukihama uislam adhabu yake ni kifo na ukimkosoa Mtume au Allah basi adhabu yako pia ni kifo.
Tumia akili,hiyo sehemu sio kama kuna shetani,hiyo sehemu ni ya kihistoria,Nabii Ibrahim alimfukuza shetani,kwa njia ya kumrushia mawe,kwa wanaofika hapo wanafanya kitendo kile kile cha kihistoria kama kujikumbusha kutofanya urafiki na shetani.
Katika mafunzo yoyote kunakuwa na nadharia(theory)na vitendo(practical),ni kama mwanajeshi anapewa mafunzo kivitendo kwa kulenga shabaha mti au Picha badala ya adui wa kweli,ili akikutana na adui wa kweli,ajue mbinu zipi za kutumia ili amshinde adui.
Kuhusu vifo au ajali iliyotekea,kifo au ajali inaweza kukutokea kokote,wakati wowote,Mtikila amefariki juzi kwa ajali,sio kwamba yeye alikuwa mjinga,au alipenda afe,wakati ulifika wake wa kuondoka duniani, Mohammed Mtoi wa Chadema,akigombea Ubunge,hakupenda afe,alitaka awe Mbuge,alitoka kwenye kampeni,wakati wake ulifika wa kuondoka akafa.Guatamala juzi mania ya watu walifinikwa na maporomoko wamekufa,sio kwamba watu hao walipenda,ni ajali kama ajali nyingine,Tazara container limeangua gari na kuuwa mwenye gari ndogo,yule hakupenda kufa ila ni ajali.Yesu vile vile hakupenda kifo cha msalabani,aliomba mara tatu kikombe hicho kimuepuke,lakini alikufa pale msalabani kwa mujibu wa Imani ya kikiristo.Hata wewe mda wako ukifika utakufa kwa njia yoyote ile,usiyoipenda wala kutaka.
 
watakwambia hao wanaenda peponi
Wakati wako wakufa ukifika hakuna ujanja,utaondoka kwa njia yoyote na usiyoipenda wala kutaka
1.Amefariki Mchungaji Mtikila,kwa ajali akitoka kwenye kampeni,hakutegemea kama atakufa.
2.Amefariki mgombea Ubunge wa Chadema,Mohammed Mtoi,akitoka kwenye kampeni za Ubunge,hakutegemea kama atakufa.
3.Amefariki mwana jf,Msamiati,hakutegemea kama atakufa
3.Guatamala mamia wamefariki,kwa kufinikwa na udongo,hawakutegemea watakufa
4.Mwenye gari Tazara,ameangukiwa na Container,kafariki,hakutegemea kama atakufa
5.Hata Yesu hakupenda wala kutegemea atakufa msalabani,aliomba Mara tatu kwa Mungu amuepushe kikombe cha umauti,lakini alikufa msalbani.
Hata wewe mda wako ukifika utakufa bila kupenda wala kutegemea utakufa vipi.
 
Soma vyombo vya habari vya Iran. Na ndo maana Saud Arabia wamekataa kutoa hata mwili mmoja ukazikwe kutoka kwenye nchi ya mahujaj walipotoka. Soon vita ya Iran na Saudia vinanukia. Maana mahujaj wengi waliokufa wanatokea Iran. Stay tuned
Hakuna vita vyovyote,wao wamekufa wengi ni kutokana na idadi yao,wanaokwenda Maka ni wengi vilevile,idadi ya watu 11,0000 huwezi kufananisha na idadi ya watu 1500,wanaotoka Tanzania.
 
Soma vyombo vya habari vya Iran. Na ndo maana Saud Arabia wamekataa kutoa hata mwili mmoja ukazikwe kutoka kwenye nchi ya mahujaj walipotoka. Soon vita ya Iran na Saudia vinanukia. Maana mahujaj wengi waliokufa wanatokea Iran. Stay tuned


Akili za kitoto kabisa. Hapa kwetu TZ vyombo vinaandika Lowasa mgonjwa, fisadi, anatumia dawa za kuongeza nguvy akiwa jukwaani, mara kajinyea kwakua vyombo vya habari unaamini?
 
Hapana mkuu walikuwa wanakwenda kumpiga mawe shetani ndipo wakakanyagana na kusababisha vifo. Ibada ya hija haikamiliki bila kumpiga mawe shetani.

Sasa pale ndio anakaa shetani!
 
Huyo Shetani anayepigwaga na nawe Kila mwaka huwa hafi?
Kuwa na akili na maarifa,sio kwamba hapo mahali kuna shetani,bali ni mahali pa historia ,Nabii Ibrahim,alimpiga na kumfukuza shetani,inakuwa kama mafunzo kwa vitendo,kwa kumpiga vita shetani kwa binadamu wa sasa.
 
Hawa pia hawakuomba kufa ila wamejikuta na mauti bila kutegemea,usifurahi kifo cha mwenzako,unatakiwa usikitike,hujui wewe utakufa wapi na mda gani na namna gani
Mass Shooting At Umpqua Community College In Oregon, 13 Reported Dead

560d87c91b00002f00dfe202.jpeg


Thirteen people were killed and as many as 20 were wounded Thursday in a shooting at a small community college in Roseburg, Oregon, according to multiple reports.
Sheriff John Handlin said at a press conference Thursday afternoon that officers had "neutralized" the shooter, who was male, during an exchange of gunfire in a campus building at Umpqua Community College.

The shooter is now deceased, Handlin said. He declined to specify how many people were killed and wounded.

Oregon Gov. Kate Brown (D) said during a separate news conference that the shooter was 20 years old.

"Today in southern Oregon is not a good afternoon," Handlin said. "It's been a terrible day."

"This is a small community," the sheriff added. "A lot of our friends and family attend this college. I personally know a number of people I work with that had very strong concerns about the welfare for loved ones going to school there."

Students were being transported to a nearby fairground,
according to a statement from the sheriff's office. Law enforcement continues to search buildings and cars on campus, Handlin said.

Nearby Mercy Medical Center in Roseburg said that it has
received 10 patients from the shooting.

Three additional victims were taken to PeaceHealth Sacred Heart Medical Center at RiverBend in Springfield, about an hour north of the site of the shooting. The hospital said on Twitter that the victims were all female and between the ages of 18 and 34, and quoted a doctor who said that an "army" of doctors and nurses had volunteered to help.


Several media reports on Thursday afternoon indicated that before opening fire, the gunman ordered students onto the ground and
asked them to identify their religion, according to an 18-year-old student who witnessed the shooting. The New York Times cited the student's account of events in a post that was later taken down.

The campus, located about 70 miles south of Eugene, was reportedly on lockdown after 10:45 a.m Pacific time. The shooting took place in classrooms in Snyder Hall, according to CNN.

Umpqua Community College is an 100-acre campus located on the North Umpqua River. Handlin noted in Thursday's press conference that the school is the only higher education facility in Douglas County. Umpqua's website crashed following the shooting.

President Barack Obama was briefed on the situation by Lisa Monaco, his homeland security adviser, according to a White House official, and will continue to receive updates throughout the day. The president was scheduled to give a public statement about the shooting on Thursday evening.

According to Everytown for Gun Safety, the incident is the
45th shooting at a school so far this year.


Mass Shooting At Umpqua Community College In Oregon, 13 Reported Dead
 
Back
Top Bottom