watanzania wakiamua serikali itaweza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

watanzania wakiamua serikali itaweza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zamlock, Dec 30, 2010.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hivi wananchi wakiamua kuwa na msimamo kupinga dowans wasilipwe na ghalama ya umeme kupandishwa je, ni kitu ambacho akiwezekani? Kwa mawazo yangu naona km inawezekana serikali kusalimu amri kwa nini tusishirikiane tukaandaa maandamano ya amani vyovyote itakavyokuwa tukabiliane nayo ili tuweze kufanikisha lengo letu, kazi kwenu wenye uchungu na nchi hii
   
 2. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kaka! kaka! Nina uchungu hasira juu ya unyanyasaji wa hawa jamaa! Yani hawaoni huruma hata juu ya wananch wanao ishi kwa tabu umaskini maradhi na njaa. Kwa jinsi ninavyo hisi hao dowansi ni mtandao wa wakubwa ndio maana nao wamekubari ku saini.ninakuunga mkono juu ya maandamano ya amani.
   
Loading...