Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Mods Chungeni: Sheria za Libel zinaihusu sana taarifa hii....
Tupatieni Caption za hizo picha kujua kuna malengo yasiyokuwa na malice na libel kuchafua mtu au watu katika hizi picha. Unawekaje picha za watu kwenye stori chafu bila kutaja nani ndo yupi katika hizo picha? Je kama mtu kaunganishwa kimakosa? Kikwete anatafuta nini hapo? Huyo mdada ndo nani? anahusikaje? Huyo masharubu kakaa na kikwete ni nani? Hao watu waa bendera ya chama ni kina nani? Wanahusika kivipi katika hii stori chafu?
Mods Mpo?
nadhani huyu jamaa anaisikia tu marekani na wala aijui vemaWafanya shughuli kwa uhaliali si kwa utapeli. Nchi ya wenyewe hata wenye nchi wanaogopa sheria zinavyowabana kuhusu utapeli.
nadhani huyu jamaa anaisikia tu marekani na wala aijui vema
hawa jamaa msiwabeze ni wakusifia sana, wanajaribu kurusisha hela zilizoibiwa africa
mbona roastam anaiba anapeleka Irani sisi tupo tunangaa ngaa macho , nasema hakuna haibu hapa
Highlander
Kuna baadhi ya picha huwa vigumu kuchukua taswira ya mtu mmoja wakati yupo na wengine, pengine mleta mada hakuwa katika nafasi ya kuifanyia uhariri picha kwa kutumia picture crop tools. Mlengwa si Rais bali mhusika. Habari si za vijiweni, kumewekwa press release toka mahakama za marekani katika kesi hizo. Hakuna kuchafuana hapa ila kujenga taswira za watu kujirekebisha na kufuata sheria na taratibu katika masuala ya kuuchumi si kwa kudanganya na utapeleli. Kwa bahati mbaya hatujaweza kupata mara moja picha aliyo peke yake vinginevyo kama unayo nirushie nifanyie editing.
Wote ni members wachadema?
Wote ni members wachadema?
hivi kikwete anajisikiaje kupiga picha na majizi?
Huenda hata hajali mwenzio.
Kama Edgar Tibakweitira, ambaye anajulikana pia kama Edgar Julian, Charles Edgar Tibakweitira au Edgar Gaudious Tibakweitira ni siyo mtoto wa mzee Gaudious Tibakweitira ambaye ni mjumbe wa Tume ya Maadili ya viongozi?
Pichani ni Rais Kikwete baada ya kuwaapisha viongozi wa Tume ya Maadili ya Viongozi, Mzee Tibakweitira ni wa pili kushoto mwaka 2010 source michuziblog.
kwani yy unamuonaje?hivi kikwete anajisikiaje kupiga picha na majizi?
kwani yy unamuonaje?