Watanzania waishio Marekani wasema wako tayari na kwa moyo mkunjufu kuendelea kumchangia Lissu: wapeana account ya benki kuchangia

hao makapuku wabeba mabox wana hela ya kuchanga? ndugu yangu alifia marekani wakashindwa kumsafirisha ikabid tumzike huko huko hawana kitu hao ni mbwembwe tu
Mimi ndugu yangu alifia Chicago, Watanzania waishio US walituchangia U$18,000. Nasi kama ndugu na marafiki wa Tanzania tuliongezea U$10,000, ndugu yetu akasafirishwa na kulazwa vizuri kabisa kwenye nyumba yake ya milele mjini Dar es Salaam.

Kama kweli kuwa hukupata mchango, labda huyo ndugu yenu hakuwa anashirikiana na wenzake.
 
hao makapuku wabeba mabox wana hela ya kuchanga? ndugu yangu alifia marekani wakashindwa kumsafirisha ikabid tumzike huko huko hawana kitu hao ni mbwembwe tu
Dogo acha matusi :D:D
Labda ndugu yako alikuwa hajichanganyi ama ana mahusiano mabaya na watu....
Wengi ama wote wanarudishwa mkuu
 
H
Safi sana!

Hata huku nyumbani tutamchangia.

Anayoyapigania Lissu(utawala bora,uhuru wa maoni,demokrasia, kuheshimu haki za raia n.k) yana faida hata kwa watoto na wajukuu wa wale wanaombeza na kumkejeli leo hii.

Lissu hapiganii masilahi yake, bali anapigania maslahi ya Taifa hili kwa faida yetu tuliopo leo hii na hata watoto na wajukuu zetu wakiwemo watoto na wajukuu wa wale ambao leo hii wanaomuita msaliti.

Iko siku watatambue mchango wake.
Hata hivi sasa wanatambua nawanakiri kimoyomoyo uzalendo wa Kamanda Mh Lissu.
Watanzania tudai Katiba ya wananchi kabla hatujachelewa zaidi, please!!!
 
hao makapuku wabeba mabox wana hela ya kuchanga? ndugu yangu alifia marekani wakashindwa kumsafirisha ikabid tumzike huko huko hawana kitu hao ni mbwembwe tu

Ndugu yako yupi ? Yule mchawi? Anapeleka uchawi wake hadi Marekani nani atamjali? Kwani nyie mlioko huku mlishindwa kuchanga za kumsafirisha?
Ndio shida ya kutegemea mshiko wa Polepole kuendesha maisha.
 
hao makapuku wabeba mabox wana hela ya kuchanga? ndugu yangu alifia marekani wakashindwa kumsafirisha ikabid tumzike huko huko hawana kitu hao ni mbwembwe tu
Siyo kila alioko Marekani lazima achangiwe, na iweje achangiwe ilhali aliweza kuingia humo kwa hela zenu. Kama aliingia kwa njia inayofaa asingekosa kusafirishwa, bila shaka huyo alikuwa mzamiaji
 
Sijawahi ona watu na mawazo mgando namna hii!!

Hivi jamani kwa mtanzania wa hali duni ya maisha ambaye hana uhakika wa chakula,, hana maji,, umeme kwake ni hadithi, barabara kuona tu gari kijiji kizima kinakimbia, watoto hawana hela ya mahitaji ya shule, ajira hakuna halafu anatokea mwanasiasa anajinadi uhuru uhuru uhuru uhuru wa nini????? Haki haki haki haki gaaaani???? Hivi huwa tunafikiri kweli???? Wewe salary slip utamconvince vipi mtu mwenye hali tajwa hapo juu aunge mkono mwanasiasa ambaye unakuta posho anachota hazina karibia 1BIL kwa miaka mitano????? Yaani mtu unapigania demokrasia wakati watu wanakufa njaa???

Unaimba wimbo wa uhuru wa maoni tena ya mwanasiasa ambaye anaposho isiyo na kikokotozi apewe uhuru wakati unayemwambia afanye hvyo hana chakula??? Maji anachangia na wanyama hv utakuwa unaakili kweli???

Hakuna kitu kinanikera kama kuweka mikakati au sera za demokrasia ,haki za binadam sjui na uhuru wakati wananchi wanateseka!!! Wanafunzi wamekosa nafasi za kusoma kisa hakuna madarasa,, halafy ww unaimba wimbo huo nooooo?!!!

Watanzania wengi tutaendelea kulalamika kwa wanasiasa kama hawa!!!!

Tunahitaji siasa ya kutatua shida za wananchi waliowengi siyo siasa za wanasiasa kuwafanya wapige kelele nakutetea matumbo yao majukwaani kwa hoja za kipumbavu!!!!

SHIDA zipo nyingi lakn hatuwezi kusikiliza hoja za namna hiyo!!! Mbaya zaidi unakuta mtu analalamika Rais kununua ndege wakati huo huo yeye mikakati yake ni kubadilisha sheria ziruhusu ushoga,, uhuru wa kutoa maoni,, demokrsasia na haki za binadam kama mashoga!!! Ni tatizo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa za kutatua shida za wananchi ni pamoja na kununua mandege huku watoto wanakaa chini shuleni si ndyo?

Mbona kama umepanic brother? Upo upande gani? Haueleweki maelezo mengi pumba tupu ujinga kipaji ila chako kimezidi
 
Back
Top Bottom