Watanzania waishio Marekani wasema wako tayari na kwa moyo mkunjufu kuendelea kumchangia Lissu: wapeana account ya benki kuchangia

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
39,362
2,000
Safi sana!

Hata huku nyumbani tutamchangia.

Anayoyapigania Lissu(utawala bora,uhuru wa maoni,demokrasia, kuheshimu haki za raia n.k) yana faida hata kwa watoto na wajukuu wa wale wanaombeza na kumkejeli leo hii.

Lissu hapiganii masilahi yake, bali anapigania maslahi ya Taifa hili kwa faida yetu sisi wote tuliopo leo hii, na hata watoto na wajukuu zetu wakiwemo pia watoto na wajukuu wa wale ambao leo hii wanamuita msaliti.

Iko siku watatambue mchango wake.
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
7,225
2,000
hao makapuku wabeba mabox wana hela ya kuchanga? ndugu yangu alifia marekani wakashindwa kumsafirisha ikabid tumzike huko huko hawana kitu hao ni mbwembwe tu
Sasa ndugu yako anafaida gani kwa Taifa?

Halafu mtu akifa hana faida tena, hata ukimchoma moto hasikii chochote!. Infact wachina, wahindi na wajapani wanachoma moto tu hakuna sababu za kumsafirisha kuingiza watu gharama za bure!
 
Tajiri mpole

JF-Expert Member
Apr 15, 2018
1,649
2,000
hao makapuku wabeba mabox wana hela ya kuchanga? ndugu yangu alifia marekani wakashindwa kumsafirisha ikabid tumzike huko huko hawana kitu hao ni mbwembwe tu
Sasa nawewe mwenye pesa ilikuwaje ukashindwa kumsafirisha ndugu yako?Wabeba box hawana pesa,sawa wewe ba familia yako ilikuwaje mukashindwa?Poleni kwa msiba huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,680
2,000
Sina itikadi moja na Lissu,sikukubaliana na baadhi ya hoja zake anapokuwa bungeni au wakati wa mzozo wa Makinikia,nilileta thread mbili ndefu kuelezea vita ya madini na serikali zetu,kuanzia kwa Dr Williamson mpaka Mwalimu Nyerere.

Kwenye ndege nilikuwa upande wa JPM,na nitakuwa naye mpaka mwisho,sikuwa upande wa baadhi ya hoja za Lissu.

Ila nilimchangia kwenye mipango ya usafiri wa Dodoma mpaka Nairobi,nilimchangia,ninamchangia na nitaendelea kumchangia na insha'Allah MwenyeziMungu atamponya.

Kwenye hilo nipo na Lissu,ninamuombea apone arudi kuleta changamoto kwenye hoja na mijadala nje na ndani ya bunge.Kabla sijawa na itikadi,nilitangulia kuwa binadamu...Kwa hili la Lissu,ninaanza na ubinadamu ninafuata na itikadi.Nitamchangia pia kwa mara nyingine.
 
luciferoriginal

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
498
500
sema chadema marekani.eti watanzania huyu kima sorry kimambi naye yumo
Hahahaha
Hao walio msaliti huyo squatter?
Mtu mwenye hekima huwa anakuuwa nafsi, lissu ameshagundulika kwamba ni mbinafsi na anapenda tumbo lake tu, wanasingida watajiju lakini yeye tumbo lake na familia yake ishibe
Mdhungu akamwahidi pesa kibao alafu akambwaga chini kama hot potato
Nafsi ya tundu imeuliwa maana alizisubiri hizo pesa ndio maana akawa ana bwabwaja ovyo kama mwehu
SASA PESA YA MZUNGU IMEGOMA, MSHAHARA WA UBUNGE UMEKATA
AISEE LISSU KASHIKWA PABAYA KWELI KWELI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lucas philipo

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
1,388
2,000
Safi sana!

Hata huku nyumbani tutamchangia.

Anayoyapigania Lissu(utawala bora,uhuru wa maoni,demokrasia, kuheshimu haki za raia n.k) yana faida hata kwa watoto na wajukuu wa wale wanaombeza na kumkejeli leo hii.

Lissu hapiganii masilahi yake, bali anapigania maslahi ya Taifa hili kwa faida yetu tuliopo leo hii na hata watoto na wajukuu zetu wakiwemo watoto na wajukuu wa wale ambao leo hii wanaomuita msaliti.

Iko siku watatambue mchango wake.
Sijawahi ona watu na mawazo mgando namna hii!!

Hivi jamani kwa mtanzania wa hali duni ya maisha ambaye hana uhakika wa chakula,, hana maji,, umeme kwake ni hadithi, barabara kuona tu gari kijiji kizima kinakimbia, watoto hawana hela ya mahitaji ya shule, ajira hakuna halafu anatokea mwanasiasa anajinadi uhuru uhuru uhuru uhuru wa nini????? Haki haki haki haki gaaaani???? Hivi huwa tunafikiri kweli???? Wewe salary slip utamconvince vipi mtu mwenye hali tajwa hapo juu aunge mkono mwanasiasa ambaye unakuta posho anachota hazina karibia 1BIL kwa miaka mitano????? Yaani mtu unapigania demokrasia wakati watu wanakufa njaa???

Unaimba wimbo wa uhuru wa maoni tena ya mwanasiasa ambaye anaposho isiyo na kikokotozi apewe uhuru wakati unayemwambia afanye hvyo hana chakula??? Maji anachangia na wanyama hv utakuwa unaakili kweli???

Hakuna kitu kinanikera kama kuweka mikakati au sera za demokrasia ,haki za binadam sjui na uhuru wakati wananchi wanateseka!!! Wanafunzi wamekosa nafasi za kusoma kisa hakuna madarasa,, halafy ww unaimba wimbo huo nooooo?!!!

Watanzania wengi tutaendelea kulalamika kwa wanasiasa kama hawa!!!!

Tunahitaji siasa ya kutatua shida za wananchi waliowengi siyo siasa za wanasiasa kuwafanya wapige kelele nakutetea matumbo yao majukwaani kwa hoja za kipumbavu!!!!

SHIDA zipo nyingi lakn hatuwezi kusikiliza hoja za namna hiyo!!! Mbaya zaidi unakuta mtu analalamika Rais kununua ndege wakati huo huo yeye mikakati yake ni kubadilisha sheria ziruhusu ushoga,, uhuru wa kutoa maoni,, demokrsasia na haki za binadam kama mashoga!!! Ni tatizo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lord eyes

JF-Expert Member
Aug 2, 2018
7,528
1,995
S

Sawa tu halalishe matendo maovu yanayoendelea hapa nchini kama kuzaliwa nilizaliwa nikakuta shida juudi zangu ndio zinaniokoa ndio maana niko hapa naweza changia mkuu usitupangie nini chakufanya unasingizia maskini wa kutupwa wakati tasafu ipo inafanya kisiasa au njoo na hoja ya maana nasio matope.
 
Sijakukataza kuchangia wewe changia!!!

Soma vzr bandiko langu usiwe mlopokaji!!!

Najua ninachokifanya naomba usome uelewe!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lucas philipo

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
1,388
2,000
S

Sawa tu halalishe matendo maovu yanayoendelea hapa nchini kama kuzaliwa nilizaliwa nikakuta shida juudi zangu ndio zinaniokoa ndio maana niko hapa naweza changia mkuu usitupangie nini chakufanya unasingizia maskini wa kutupwa wakati tasafu ipo inafanya kisiasa au njoo na hoja ya maana nasio matope.
Sasa kama shida ulizikuta mnalalmika nn sasa???? Muwe na akili ndo maana mgonjwa wenu anaongea hiki kesho ashasahau anaomba radhi teena mwambieni atajikwaa bure tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom