Watanzania/Waafrika hatuna Akili?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Mimi kama Mwafrika siyo tu nimelisikia hili ktk kwa watu wasio Waafrika bali nimelishuhudia na ninaelendelea kulishuhidia kila siku kwamba Watu wengi hapa Afrika hatuna akili maana yake ni kwamba hatuwezi kutatua hata vijitatizo vidogo vidogo tu na hii ni kila mahali kuanzia kwenye familia, kazini mpaka kwenye maisha tu ya kila siku!

Nitatoa mifano, ni jambo la kawaida kukuta Mwanaume Mtanzania kanuniana na Mke wake kwa miezi hata mitatu mpaka wazee wasafiri kilometa 800 ktk vijijini kuja kuwafanya waongee, yaani Mwanaume mzima anaamka asubuhi haongei na mke wake anaenda anarudi kimya, ina maana hata kama amesahau kitu nyumbani ambacho ni muhimu hawezi kumpigia mke wake simu labda amuombe amletee au akipeleke mahali kwa kuwa kamnunia lkn ni mtu anayelala naye kitanda kimoja, wanaishi nyumba moja sasa hii ni tabia ya kitoto na ya watu wasiokuwa na akili na mtu anayestahili kuitwa mtu mzima hawezi kufanya hivi!

Ukija kwenye mambo ya siasa watu siku zote hupoteza muda kujadili mambo ambayo siyo muhimu kwa mfano leo kuna Ugeni wa Raisi ktk Vietnam kwa kawaida jamii ya watu wenye akili wangekuwa wanajadili sababu za ujaji wa raisi hapa nchi lkn kilichotawala majadilliano ni kwa nini Raisi wa nchi hakwenda Uwanja wa ndege kumpokea raisi na watu wanapoteza muda kujadiliana kama amekosea au la, sasa mtu mwenye akili hafanyi hivyo!

Ukija huku br. utakuta kitu kidogo kinasababisha foleni ya masaa mawili labda kuna mwanamke tu kavaa nguo inayoonyesha maumbilie yake sasa magari hayaendi na watu wanasimama kuanza kumtukana huku foleni ni kubwa watu wanachelewa na uzalishaji unasimama shauri ya mwanamke mmoja tu!

Huwezi kuwaambia watu kitu mara moja wakaelewa ni lazima utumie nguvu na ikiwezekana Polisi ndiyo waelewe kwa mfano nilikwenda kwenye mahafali ya kumaliza Chuo Kikuu wakasema Mwanafunzi akiitwa kuja kuchukuwa cheti mmuwaache aje mwenyewe akabidhiwe cheti chake halafu wakati anarudi ndiyo muanze kumpongeza ili kuokoa muda hilo halikuwezekana pmj na kurudiwa kusemwa mara karibia 10 mtu akiitwa watu wanamzingira wanaanza kupiga picha matokeo yake anashindwa kwenda ikabidi Polisi waje ili kulifanikisha hilo!
sasa watu wenye akili huwa hawafanyi hivyo kwani husikiliza wanachoambiwa na kutekeleza!

Ukimuuliza mtu kitu hasikilizi halafu anakupa jibu ambalo haujamuuliza mifano iko mingi hata hapa JF mtu anasoma kichwa cha habari bila kusoma maudhui ya kilichoandikwa na kuanza kujibu na wkt mwingine kumtukana aliyeleta mada bila hata ya kuelewa kilichaoandikwa, anauliza kile ambacho tayari kimeshaelezewa kwenye mada ambapo alipaswa kusoma tu na kuelewa lkn bado anakuuliza!

Na mfano mingine mingi sana, sasa ni kwanini lkn hatuna Akili????
Tunawezaje kuindustrialize na kushindana na Dunia kama hatuwezi kutatua hata vitu vidogo kama hivi?
 
Mimi kama Mwafrika siyo tu nimelisikia hili ktk kwa watu wasio Waafrika bali nimelishuhuduia na ninaelendelea kulishuhidia kila siku kwamba Watu wengi hapa Afrika hatuna akili maana yake ni kwamba hatuwezi kutatua hata vijitatizo vidogo vidogo tu na hii ni kila mahali kuanzia kwenye familia, kazini mpaka kwenye maisha tu ya kila siku!

Nitatoa mifano, ni jambo la kawaida kukuta Mwanaume Mtanzania kanuniana na Mke wake kwa miezi hata mitatu mpaka wazee wasafiri kilometa 800 ktk vijijini kuja kuwafanya waongee, yaani Mwanaume mzima anaamka asubuhi haongei na mke wake anaenda anarudi kimya sasa hii ni tabia ya kitoto na ya watu wasiokuwa na akili na mtu anayestahili kuitwa mtu mzima hawezi kufanya hivi!

Ukija kwenye mambo ya siasa watu siku zote hupoteza muda kujadili mambo ambayo siyo muhimu kwa mfano leo kuna Ugeni wa Raisi ktk Vietnam kwa kawaida jamii ya watu wenye akili wangekuwa wanajadili sababu za ujaji wa raisi hapa nchi lkn kilichotawala majadilliano ni kwa nini Raisi wa nchi hakwenda Uwanja wa ndege kumpokea raisi na watu wanapoteza muda kujadiliana kama amekosea au la, sasa mtu mwenye akili hafanyi hivyo!

Ukija huku br. utakuta kitu kidogo kinasababisha foleni ya masaa mawili labda kuna mwanamke tu kavaa nguo inayoonyesha maumbilie yake sasa magari hayaendi na watu wanasimama kuanza kumtukana huku foleni ni kubwa watu wanachelewa na uzalishaji unasimama shauri ya mwanamke mmoja tu!

Huwezi kuwaambia watu kitu mara moja wakaelewa ni lazima utumie nguvu na ikiwezekana Polisi ndiyo waelewe kwa mfano nilikwenda kwenye mahafali ya kumaliza Chuo Kikuu wakasema Mwanafunzi akiitwa kuja kuchukuwa cheti mmuwaache aje mwenyewe akabidhiwe cheti chake halafu wakati anarudi ndiyo muanze kumpongeza ili kuokoa muda hilo halikuwezekana pmj na kurudiwa kusemwa mara karibia 10 mtu akiitwa watu wanamzingira wanaanza kupiga picha matokeo yake anashindwa kwenda ikabidi Polisi waje ili kulifanikisha hilo!
sasa watu wenye akili huwa hawafanyi hivyo kwani husikiliza wanachoambiwa na kutekeleza!

Ukimuuliza mtu kitu hasikilizi halafu anakupa jibu ambalo haujamuuliza mifano iko mingi hata hapa JF mtu anasoma kichwa cha habari bila kusoma maudhui ya kilichoandikwa na kuanza kujibu na wkt mwingine kumtukana aliyeleta mada bila hata ya kuelewa kilichaoandikwa, anauliza kile ambacho tayari kimeshaelezewa kwenye mada ambapo alipaswa kusoma tu na kuelewa lkn bado anakuuliza!

Na mfano mingine mingi sana, sasa ni kwanini lkn hatuna Akili????
Tunawezaje kuindustrialize na kushindana na Dunia kama hatuwezi kutatua hata vitu vidogo kama hivi?
NI KWA SABABU NGOZI NYEUSI IMETULAANI AU TAMADUNI ZETU NYIGI NI ZA KIPUMBAVU.
KAMA KUNA TAMADUNI AMBAZO TULIPASWA KUWAIGA WAZUNGU NI HIZI ZIFUATAZO:
1.HARDWORK
2.USHIRIKIANO(KWENYE MAMBO YA Msingi)
3.KUTUNZA MUDA.
KWA UTAFITI WANGU PENYE NGOZI NYEUSI PANA

UMASIKINI
USHIRIKINA
UJINGA
UPUMBAVU
MAGONJWA
NA HII NI DUNIANI KOTE.
upload_2016-3-9_11-26-38.jpeg

images
 
Aisee ninafanya kazi kwenye kampuni ambayo tuna interaction kubwa sana na wazungu, yani waTz wengi ni ma mbumbumbu snaaa. Yani tunajua kutia aibu jamani achaaa. Yani kuna mijitu ilivyo haina akili, mizumbukuku huwa inatamani hata iwabebe mgongoni wazungu., Yani I agree MOST of Tanzanians (mind you, not all. Nimesema most) ni wajinga sanaaaaa. yani nikielezea hapa haitatosha. Ila mtoa uzi umesema kweli watu baadhi n weusi bado ni wajing, washamba, mambumbumbu sanaaaaaa
 
Mfano ukiangalia kinachotokea zanzibar na jecha au chaguzi za mameya hapo utajua tu kuwa mtoa mada yupo sahihi
Kwa kweli mtoa mada yuko sahihi... ukiangalia Umeya Dar, uchaguzi wa halmashauri Tanga, Kilombero..... kuto kaa mita 200 kwenye uchaguzi mkuu, katiba yetu, kwa kweli uko sahihi.....
 
Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa. Ukiishia na hii philosophy utakimbia kundi kubwa LA wenye hayo matatizo.

Watanzania weñgi tulipokuwa watoto tulikula unbalanced diet kwa hiyo ubongo ulidumaa during early age. Hayo pia ni Matokeo yake.

Tunareplace udhaifu wetu na majungu,kusemanasemana, kausingizia na, siasasiasa makazini, uongouongo na umbea.

Kama taifa tunamatatizo, Ila mmoja mmoja ni uamuzi wako wewe mwenyew
 
Suala la msingi sana umeuliza, na pia umejaribu kuelezea. Ninadhani hata baadhi ya majibu unayopata hapa, yanakuthibitishia kwa kiasi kikubwa tu kwamba: kwa wastani akili ya wengi duni. Kuna sababu nyingi lakini kubwa, kwa maoni yangu, na tafiti mbalimbali za kibaolojia, hususan vinasibu (genetics na epigenetic), akili ya Waafrika, kwa wastani, zimedumaa. Hii haihusiani na 'laana' kwa ngozi nyeusi kwani katika mazingira tofauti (epi-genetic) bado akili ya Mwafrika inaweza kuboreshwa. Nini kimepelekea kudumaa kwa akili ya Mwafrika? Lishe duni. Vyakula wanavyokula Waafrika, kwa wastani, ama haviboreshi akili na aidha havitoshi (under-nutrition). Akili ni viungo vya kwanza kujengeka kabla ya mtoto kuzaliwa. Hivyo basi, lishe duni hupelekea akili duni. Mbaya zaidi, akili duni inarithishwa kwa yule atakaye-zaliwa na mwenye akili duni. Lamarckian genetics. (Tofauti na Darwinian evolution). Niwie radhi kuchanganya lugha. Mwisho, labda tu ungepata fursa ya kuongea na Bwana fulani ambaye masuala haya yamemshughulisha sana na sasa amejikita kwenye ukulima wa mpunga huko Pwani Kaskazini baada ya kuyatafakari haya unayouliza. Yote ameandika, na mengi mengineyo kuhusiana na suala hili. Hazina kubwa si-kwetu tu bali bara zima Kusini kwa Sahara. Ninadhani anaweza kukujibu vizuri, kama utabahatika, kumtoa Pwani.
 
Mfano ukiangalia kinachotokea zanzibar na jecha au chaguzi za mameya hapo utajua tu kuwa mtoa mada yupo sahihi
Zanzibar walinza kuzurumiana tangu 1963. Aliyepata kura nyingi akaongozwa na aliyepata kura chache.
Huku refa mwingereza anashuhudia.
 
NI KWA SABABU NGOZI NYEUSI IMETULAANI AU TAMADUNI ZETU NYIGI NI ZA KIPUMBAVU.
KAMA KUNA TAMADUNI AMBAZO TULIPASWA KUWAIGA WAZUNGU NI HIZI ZIFUATAZO:
1.HARDWORK
2.USHIRIKIANO(KWENYE MAMBO YA Msingi)
3.KUTUNZA MUDA.
KWA UTAFITI WANGU PENYE NGOZI NYEUSI PANA

UMASIKINI
USHIRIKINA
UJINGA
UPUMBAVU
MAGONJWA
NA HII NI DUNIANI KOTE.
View attachment 328386

images
NAKUBALIANA NA WEWE. LAKINI NI NJAA/UMASIKINI INATUFANYA TUSIWEZE KUFIKIRI
 
Poleni sana. Kama ni kwa hoja hizo basi mimi simo. Ila mkihitaji msaada nimo kuwasaidieni!!
Ila ninakubaliana na wewe pakubwa sana. Fikiria mijitu inavyoteketeza hela kwa ajili ya maandalizi ya harusi na siku ya harusi yenyewe. Hala inakwenda kuanza life ikiwa bankrupt na mideni kibao.
Gharama za jaraso zinakimbizana na ufadhili wa vodacom kwa ligi kuu
 
Back
Top Bottom