Nilijua tuu kazi yako kushabikia wezi waliofirisi hii nchi, huna maana huna lolote wewe pia ni gamba namba mbili, tutawangoa tuu tunaanza na Igunga!!!!!!!!! Wana Igunga funguka poromosha majizi ya CCM piga chini!!!!!!!!!!Na hivyo vyote itatoa CDM au utatoa wewe? Mbunge wenu hata nguo ya maana hana, kiwembe cha ndevu kinamshinda sasa ataleta maendeleo gani? Hebu tueleze ukweli. maji,umeme,mafuta,sukari na mengine yote Slaa ataviagiza mbinguni?
Umefika Moshi ukaona huo mji au unajisemea na kupayuka tuu!!!!!!!!!! Huo ni mfano hai, CDM wapo kikazi zaidi sio kuwaibia wananchi mali zao!!!!!!!!!!!!!!! Igunga chagua CHADEMA achana na wana maghamba!!!!!!!!!!Wakichagua CCm basi hawana akili,wakichagua CDM ndio wana akili.
Hizi ndio siasa anawafundisha Slaa?
Serikali ilyoko madarakani ni CCM wanaweza kuamua kuwakaushia kutekeleza ahadi zao lakini bungeni wanasema na kutetea wananchi zidi ya wezi wa mchana!!!!!!!!Ushauri mzuri sana huo! Hata hivyo naomba kupata matokeo ya score card ya majimbo ambayo Chadema wameyanyakua katika uchaguzi uliopita. Kwetu Mbeya Mjini na kwa wenzetu kule Ubungo na Singida Mashariki, hakuna hata kero moja tuliyoahidiwa kutatuliwa ambayo imeguswa. Hali ya Igunga ya leo haitabadilika chochote kwa ahadi za watu ambao walituahidi asali na maziwa na mpaka sasa hata maji ya kunywa hatujayaona.
Watanzania wenzetu wa Igunga Tabora kama kweli mnayo akili huu ndo wakati wa kuondoa chama ambacho kimezidi kutupeleka gizani inabidi muonyeshe kweli mabadiliko yanawezekana huu ndo wakati hakuna mwingine jaribu kufikiri tabu unazopata kwanzia shida ya maji, umeme, mafuta na sasa tunaelekea kwenye sukari na mengi ambayo hayakustaili tuyapate kwa utajiri tulionao sasa wakati wa mabadiliko ndo huu!
Hilo jina Mheshimiwa vipi, liko sawa???????????Mbopo,, unaua sisimizi kutumia bomu,, hawa wachangiaji wengine ni watupu kwelikweli, zaidi ya matusi hawana hoja ya msingi
<br /><br /> Mi nafurahishwa sana na wakazi wa Moshi, wakati wa kampeni mwaka jana, wakazi wengi walikuwa wanafurahia kuwa wapinzani kwani kwa kuwa upinzani wanajiona wao sio sehemu ya hii serikali mbovu <br />
<br />
nimesema wa igunga kwa sababu ndo wao wapo kwenye mchakato ila itakapofika 2015 ni watanzania wote 4 ballot or bullet we shall over come this.Uko sahihi kabisa ulilokosea ni kusema WATANZANIA WA IGUNGA!
hili kwa WATANZANIA wote wkijivua MAKAKA,SIJUI MAKOTI,MAKIJANI AU MAGAMBA SIJUI NGOZI.
WATANZANIA tuitumie nafasi kikamilifu kwani hata hivyo hawana wasafi kama ni kweli wengi watawavua
tutegemee kuvuna mengi kama WATANZANIA kweli tutaamua kuikomboa nchi yetu.
hakuna mzungu au malaika atakaekuja kutukomboa ni sisi wenyewe tuamue na tujikomboe.
kazi kwetu WATANZAGIZA wantuona majinga sijui umeme hakuna na bado anaedai mtoto wa mkulima
katangaza Tanesco wanapandisha mda wowote gharama za umeme!!
walahi ni ajabu pia aibu kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kutangaza labda uwe umefunika uso.
wanatupeleka wapi!? tafakari kwa kina chukua UAMUZI.
Watanzania wenzetu wa Igunga Tabora kama kweli mnayo akili huu ndo wakati wa kuondoa chama ambacho kimezidi kutupeleka gizani inabidi muonyeshe kweli mabadiliko yanawezekana huu ndo wakati hakuna mwingine jaribu kufikiri tabu unazopata kwanzia shida ya maji, umeme, mafuta na sasa tunaelekea kwenye sukari na mengi ambayo hayakustaili tuyapate kwa utajiri tulionao sasa wakati wa mabadiliko ndo huu!
Akili tunayo na ndio maana tutachagua CCM,wewe endelea kuandamana na wanafiki wa posho CDM.
OTIS.