Watanzania wa Dar! Andaeni mabango...

wabongo bana hakuna hata mmoja aliyetoka na walau kabango kakizushi..jamani jamani watanzania hatunazo
 
mimi hukuniona na bango pale tazara?? Nilikua nimesimama pemben ya nguzo ya umeme

Sasa hapo kwa pembeni CNN, BBC n.k wangekuonaje mkuu? wewe si miongoni mwa wale waliopagawa na kuingia barabarani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…