Watanzania wa Dar! Andaeni mabango...

Tutayaandika kwa English ngumu ili kuwapiga chenga mapolisi... Wanakuja kujua maana... ujumbe usha fika kwa mkuu Obama
 
means mwizi akifanikiwa kuiba utamlaumu aliyeibiwa..

kwa swala hili inabidi tumlaumu aliyeibiwa mana amekosa kutumia maarifa yake na ya wananchi wake mpaka aje kusaidiwa kiwatengu tuna kila kitu tz why tushindwe wenzetu waweze ni uzembe wa viongozi wetu acha obama ajilie tukimwangalia kwa asirana kiwete akichekelea
 
Last edited by a moderator:

Basi hapo tupate bango! "viongozi wetu ni wazembe ndiyo maana mnatuibia mwisho wenu unakaribia"...

tuwa alert mapema kuwa tunajiandaa kwa ukombozi.
 
Last edited by a moderator:
View attachment 100164
Tushaanza kuyaandaa ila tuko mafichoni si unajua kauli ya Pinda.



We vipi, unamwogopa kenge? Yule amehalalisha polisi kupigwa nasi raia amezungusha tu maneno yake ila nia yake ni polisi kudundwa na kuumizwa vibaya sana ili serikali ipate kisingizio. Subiri tu mtamuona anakuja kuomba radhi na kurekebisha kauli yake maana naye huwaga haeleweki.
 

Dah! kweli we ni Jamaa_Mbishi. Nimekukubali!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…