View attachment 100164
Tushaanza kuyaandaa ila tuko mafichoni si unajua kauli ya Pinda.
hatutaki ushogaKuna sababu ya kutumia ujio wa raisi wa marekani kufikisha ujumbe kwa yale yanayotusibu kwa jumuiya za kimataifa!!
Tusikae kimya..
Tuiseme demokrasia yetu,
Andikeni pia kuhusu ufisadi na unepotism unaoendelea hapa kwetu..
Let the world see..
Msiache kuaandaa mabango na ya bebe jumbe zenye maana..
Wana jf tuwekeni maneno hapa kuwasapot watu wa dar..na wale wa maeneo ya jirani!!
..andika ujumbe ambao ungependa usomeke kwenye mabango..
Watanzania waishio dar na maeneo ya jirani wataona na kuyaweka..
FBI watatenga eneo la protestors, Ulinzi utaimalishwa kuwadhibiti kama wakivuruga utaratibu. Policcm hawalijui hilo, wanachofanya ni kuficha ukweli, Kuwakamata watu wenye mabango ndio kutasababisha fujo. By the way why did you exclude yourself?hawataweza kuwapiga mkifanya kwa amani..na kwa wakati muafaka!!
Hata hiyo kauli ya Pinda ikae kwenye bango kubwa!!
ikizingatiwa moja ya sababu ya ujio wa obama ni kukuza demokrasia!
waziri wetu mkuu anaruhusu watu wapigwe
Umeona eeh? Na ndio kubwa linalomleta.hatutaki ushoga
View attachment 100164
Tushaanza kuyaandaa ila tuko mafichoni si unajua kauli ya Pinda.
View attachment 100170
Lazima Obama alisome ili tutaliweka kiintelejesia PALE AIR PORT.