Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
Mkuu Mwana Mtoka Pabaya Ndio mkuu wakina dada wa kiislam wa ki Tanzania wahudhuria kwenye Mazishi ya chale Kanisani. huku Nchi za nje hakuna udini watu wanaishi kama ndugu hakuna ukabila wala Udini akifa mtu watu wanakuwa kitu kimoja wanashirikiana watu wote wa dini zote iwe Kiislam au kikristo udini huko kwenu Tanzania.Wakina dada wa Kiislam au wa Kitanzania?