Chawa wa makamba yupo kazini achana naye.Nikuulize huo mkaa unaotumia unazani ni hekta ngapi zinateketea kwa mwaka kuzalisha mkaa, kuni mbao za asili kama mninga, mkongo, mpingo, kilimo na ufugaji (Wasukuma) nk? Nimefika hapo Wanapojenga hilo Bwawa ni sehemu ndogo sana ya uharibifu wa misitu ya asili TZ, TZ inaharibiwa misitu na wakulima, wachoma mikaa, wakata mbao na wafugaji kwa rate kubwa sana tuache siasa
mtu anayezuia kujenga hilo bwawa akisingizia sijui mazingira sijui nini huwa namshangaa sana. na huwa naamini hana akili timamu.Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.
Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.
Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu ..?
Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je hatukua na option nyingine ..?
Inasikitisha sana
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.
RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Dah....ona sasa unavyodharaulikaUmeme wa maji ni outdated mzee watu wanatumia alternative source of energy zisizochafua mazingira Sasa mtu anakata miti ma milion bila kufikiria hyo huleta rain formation, Matokeo yake na bwawa halitajaa kwa ukosefu wa mvua na ndio maana Dar kulikuwa na mgao wa maji
Hiyo miti imeanza kukatwa leo na athari za mvua ndo zimeanza eehh!!Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.
Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.
Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu ..?
Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je hatukua na option nyingine ..?
Inasikitisha sana
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.
RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Wivu huu kwa HAYATI NI AIBU KUBWA SANALeo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.
Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.
Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu ..?
Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je hatukua na option nyingine ..?
Inasikitisha sana
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.
RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Nimemsikia nape nawoye jamaa anabweka sana bungeni sijui alinyimwa nini na jpmKwa hiyo ni bora kuwasha Diesel engine za Dowans na Iptl kuliko kuzalisha Umeme kwa maji ?
Kipi kinaharibu zaidi mazingira kati ya generator za Dowans mnazotaka kuwasha and Umeme wa maji wa Stiegler ?
Hivi unafahamu umeme utokanao na nguvu ya Maji kama mliocancel wa Stiegler ni renewable energy ?
Wamemekaririsha nape nawoye na wao wanakuja kubweka hukuMiti milioni nne Ni ukubwa wa jiji la Dar?
Nyie mnasababishaga bangi ionekani Ni madawa ya kulevya
Nape nimemskiia kuwa ukubwa ni sawa na unguja au dar nzimamtu anayezuia kujenga hilo bwawa akisingizia sijui mazingira sijui nini huwa namshangaa sana. na huwa naamini hana akili timamu.
Baba Joseph mwenye miaka 17, swali langu la msingi liko pale pale.. Kwavile miti inakatwa kila kukicha kwa shughuli za kibinadamu ndo serikali ikaamua ku-top up kwa kukata miti zaidi?Kama unaishi Dar au hutembei nchi hii utasema ni akili ndogo ila jua tu mamilioni ya hekta za misitu yanateketea kwa shughuli za kibinadamu (Mkaa, kilimo, ufugaji na makazi)
Yaani wewe na huyo ulio rejea kwa answered akili zenu sawa na za watoto wa viduduLeo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.
Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.
Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu ..?
Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je hatukua na option nyingine ..?
Inasikitisha sana
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.
RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Acha upopoma na kuchuuzwa, shirikisha akili tafuta maarifa....Leo nilipata wasaha wa kupitia answered za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi.
Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya kusini mwa Tanzania, maeneo ambayo hayajawahi kuwa na ukame.
TFS walitangaza tenda ya kukata miti cubic metre milion 2 bila tathimini ya athari ya mazingira. Wabunge waliotoa maoni kama ya Nappe waliitwa vibaraka wa mabeberu.
Watu ambao hawajui cubic metre hapo ni nini ngoja niwape Shule. Kwa kawaida kutokana na range za miti cubic metre 1 inaweza kuwa na wastani wa miti 2 hadi mi 3 hii ni sababu miti ina kuwa na ukubwa tofauti tofauti. Ni miti michache sana ambayo unaweza kupata cubic metre 1 kwa mti mmoja.
Kwaio kimsingi miti iliyokatwa ili kutengeneza bwawa la JNHPP ni wastani wa miti milion 4 hadi milion 6. Ukubwa na eneo sawa na mkoa mzima wa Dar es Salaam. Swali tulikua wapi hadi tukaruhusu mradi huu ..?
Wizara ya mazingira na wizara ya misitu sijaona replacing plan ya angalau miti milion 1. Nawakumbusha watanzania kuna mambo hayahitaji siasa.
Je hatukua na option nyingine ..?
Inasikitisha sana
Rais Samia anabeba mzigo wa kusahihisha makosa yaliyofanywa awamu iliyopita.
RAIS SAMIA
KAZI IENDELEE
Aisee!Jiwe alikuwa baba haambiliki na taarifa za wataalamu alisema fake wametumwa na mabeberu wanatuonea wivu, madhara yake twaona vuli imekata na miji ka Dar na pwani joto limezidi kupita kiasi huo msitu ulikuwa sehemu ya kupumulia Tanzania, hafu umeme wenyewe bwawa kujaa ni kudra za Mungu. Kiukweli kukata huo msitu ulikuwa ubinafsi wa kiwango Cha sgr ni hatari kuwa na viongozi wasioambilika na wasiojali vizazi vijavyo