Watanzania uaminifu ni 0 kabisa, yaani hela yangu kaninunia na kusambaza sumu juu yangu.

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Nimekoma! Nimekoma! Nimekoma mimi! Nimekoma sana. Miezi 5 iliyopita kuna jamaa mmoja alikuja akiwa na shida ya 590K TZS. So alitaka nimkopeshe.

Kwa kuwa nimelelewa kwa misingi ya huruma na malezi bora nikaona isiwe tabu, nikamkopesha 600K TZS, hiyo ten nilimpa tu ya soda. Alikuwa anatia huruma sana, narudia alikuwa anatia huruma sana.

Na akanitolea baadhi ya vifungu vya biblia ili aonekane muaminifu. Baada ya mwezi akasema atarudisha. Huyu bwana ni mfanyakazi benki moja hapa DSM, analipwa 2.5M kwa mwezi. So akasema akipata atanilipa.

Sasa ni mwezi wa 5 huu simu hapokei tena msg's hajibu. Na ameshaanza kusambaza sumu kwa watu wangu wa karibu kuwa nina roho mbaya. Kosa langu lipi?

Kukumbusha deni langu limekuwa kosa? Nina machungu si tu ya kudhulumiwa ila mtu kudharau msg's na calls zangu.

Uaminifu wetu upo wapi WaTZ?

Mpaka leo hii ni mwezi wa 5 ananikwepa na hataki kuongea na mimi wala ku respond calls zangu.

Uaminifu upo wapi?

Tumuamini nani?
 
koma kabisa .mimi sitakuja kusaidia mwenye njaa mwenye kimbilio kunifikiria mimi.

soma uzi mmoja unafanana na unacho sema:mwenye kukupenda hakupendi na unayempenda hakupendi
 
Rafiki yangu nilikopesha laki mbili toka mwezi wa kumi mwaka jana. Na urafiki ukaishia hapohapo maana sinu zangu na sms zangu hajibu.

Kwa sasa namvutia waya tu amalize mfungo wake wa Ramadhan. Uzuri nilimwekea bank na bankslip ninayo hadi leo.

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Loooh ukute hajui kama una pay slip. Na anafunga kabisa? Huu ni unafiki jamani.
 
Back
Top Bottom