Watanzania tuviamini vyombo vya ulinzi vya Tanzania. Martha Karua alirudishwa kenya kwa usalama wake kuna wakenya walitaka kumuua Tanzania

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
9,939
Reaction score
15,943
Watanzania tuviamini vyombo vya ulinzi vya Tanzania. Martha Karua alirudishwa kenya kwa usalama wake kuna wakenya walitaka kumuua Tanzania kwa sababu ya kuchochea mauaji ya wajaluo Kenya yaliyozalisha wakimbizi wa ndani Kenya

Yeye na Jaji mkuu mstaafu Mutunga walirudishwa Airport sababu makundi ya waathirika wa hukumu za Jaji Mutunga na walioathirika na Martha Karua walipanga kuwaua Tanzania

Tanzania tukaogopa nchi isipakwe matope kuwa wameuawa nchini kwetu kuwa sisi ndio tumewaua wakarudishwa chap.chap Airport wakahangaike na wakenya wenzao huko sio Tanzania Kutupaka matope.Na wakenya wangewaua kweli wakiwa Tanzania kuhudhuria kesi ya Tundu Lisu.Washukuru Tanzania kuwa wako hai hadi leo.
 
😂😂
 
Si bure, umelaaniwa wewe!

Unayaandika haya kwa kuwa Ali Kibao, Soka, Mdude na makumi waliotekwa na kuuawa, siyo ndugu zako. Siku mwanafamilia wako atakapotekwa na kulawitiwa, ndiyo akili itakujia.

Siamini kuwa umeyaandika haya kwa sababu ya kukosa ufahamu. Uwezekano mkubwa wewe ni miongoni mwa yale mashetani yanayodhulumu haki za wanadamu wenzao kwa kuwateka, kuwaua, kuwapoteza, na kuwalawiti.
 
Watanzania tuviamini vyombo vya ulinzi vya Tanzania. Martha Karua alirudishwa kenya kwa usalama wake kuna wakenya walitaka kumuua Tanzania kwa sababu ya kuchochea mauaji ya wajaluo Kenya yaliyozalisha wakimbizi wa ndani Kenya

Yeye na Jaji mkuu mstaafu Mutunga walirudishwa Airport sababu makundi ya waathirika wa hukumu za Jaji Mutunga na walioathirika na Martha Karua walipanga kuwaua Tanzania

Tanzania tukaogopa nchi isipakwe matope kuwa wameuawa nchini kwetu kuwa sisi ndio tumewaua wakarudishwa chap.chap Airport wakahangaike na wakenya wenzao huko sio Tanzania Kutupaka matope.Na wakenya wangewaua kweli wakiwa Tanzania kuhudhuria kesi ya Tundu Lisu.Washukuru Tanzania kuwa wako hai hadi leo.
Kwa maana yako ni kwamba hao wauaji wa Kenya wameiona Tanzania ni rahisi kufanya matukio ya kifedhuli kuliko nchini kwao si ndio? Kwamba hapa inawezeka tu? Huoni kwamba umetukanisha vyombo vyetu wewe
 
Watanzania tuviamini vyombo vya ulinzi vya Tanzania. Martha Karua alirudishwa kenya kwa usalama wake kuna wakenya walitaka kumuua Tanzania kwa sababu ya kuchochea mauaji ya wajaluo Kenya yaliyozalisha wakimbizi wa ndani Kenya

Yeye na Jaji mkuu mstaafu Mutunga walirudishwa Airport sababu makundi ya waathirika wa hukumu za Jaji Mutunga na walioathirika na Martha Karua walipanga kuwaua Tanzania

Tanzania tukaogopa nchi isipakwe matope kuwa wameuawa nchini kwetu kuwa sisi ndio tumewaua wakarudishwa chap.chap Airport wakahangaike na wakenya wenzao huko sio Tanzania Kutupaka matope.Na wakenya wangewaua kweli wakiwa Tanzania kuhudhuria kesi ya Tundu Lisu.Washukuru Tanzania kuwa wako hai hadi leo.
Huyo mkenya labda ni singa singa Sethi
 
Na huyo/hao watanzania waliotaka kumuua ni mbunge wa mama na askari ambao wanafanana na miti na udongo ambao wamefichwa kusikojulikana. ukisikiliza 3:04.

Kwahiyo kumbe siku hizi kuna askari wasiojulikana na kazi yao ni kuua raia wa kigeni?

View: https://youtu.be/SqavAAqFjio?si=o34RyLKy_DGJNJQ3

Kidampa mwingine wa mama akasema ilitakiwa Martha Karua arudishe akiwa na vifaa vya kumsaidia kupumua.

Maana yake hata Boniphace Mwangi na Agather waliyofanyiwa na kutupwa mipakani mwa nchi zao yalikuwa na baraka za vidampa hawa hawa na wanajutia kwa SC Martha Karua hawakufanikisha maana airport kulikuwa na watu wengi na camera za kutosha na yeye pia alikuwa ameingia live katika mitandao.

View: https://youtu.be/zGtUZ9MoSQ4?si=WTdRm8CFd92A5MLN
 
Vyombo vya ulinzi siku sio nyingi vitaanza kudhalauliwa na wananchi

Tulianza na polisi watu kuisema vibaya, sasa hivi kwa mbaali TISS, soom JWTZ nao wataanza kusemwa vibaya
 
Huyo mkenya labda ni singa singa Sethi
Singasinga ni mtanzania achana na picha za AI

Martha Karua na Jaji Mkuu mstaafu wa Kenya Mutunga kuna wakenya walijipanga kuwaua wakiwa tu wakitoka Airport

Tanzania tungepata kashfa mbaya mno

Kuwa tumewaua sisi ndio maana wakarudishwa airport kuwa rudini kwenu kenya wakawaue kwenu msitusukumizie jumba bovu watanzania lituangukie

Ila wakenya walijipanga hasa kuwa jaji Mutunga na Martha Karua lazima warudi kwenye majeneza toka Tanzania

Washukuru mno vyombo vya usalama vya Tanzania waliowarudisha Airport
 
R.I.P Mzee Ali Kibao.
 
Watanzania tuviamini vyombo vya ulinzi vya Tanzania. Martha Karua alirudishwa kenya kwa usalama wake kuna wakenya walitaka kumuua Tanzania kwa sababu ya kuchochea mauaji ya wajaluo Kenya yaliyozalisha wakimbizi wa ndani Kenya

Yeye na Jaji mkuu mstaafu Mutunga walirudishwa Airport sababu makundi ya waathirika wa hukumu za Jaji Mutunga na walioathirika na Martha Karua walipanga kuwaua Tanzania

Tanzania tukaogopa nchi isipakwe matope kuwa wameuawa nchini kwetu kuwa sisi ndio tumewaua wakarudishwa chap.chap Airport wakahangaike na wakenya wenzao huko sio Tanzania Kutupaka matope.Na wakenya wangewaua kweli wakiwa Tanzania kuhudhuria kesi ya Tundu Lisu.Washukuru Tanzania kuwa wako hai hadi leo.
Hiyo taarifa wewe umeitoa wapi ilituamini unayo yasema
 
Hakuna kosa kubwa kwenye nchi yoyote ile kama lile la kuwaruhusu vilaza kuwaongoza/kuwatawala. Yaani hadi werevu mtalazimishwa na nyinyi kuwa vilaza kama wao kupitia maigizo, porojo, propaganda, na kila aina ya ujinga.
 
Watanzania tuviamini vyombo vya ulinzi vya Tanzania. Martha Karua alirudishwa kenya kwa usalama wake kuna wakenya walitaka kumuua Tanzania kwa sababu ya kuchochea mauaji ya wajaluo Kenya yaliyozalisha wakimbizi wa ndani Kenya

Yeye na Jaji mkuu mstaafu Mutunga walirudishwa Airport sababu makundi ya waathirika wa hukumu za Jaji Mutunga na walioathirika na Martha Karua walipanga kuwaua Tanzania

Tanzania tukaogopa nchi isipakwe matope kuwa wameuawa nchini kwetu kuwa sisi ndio tumewaua wakarudishwa chap.chap Airport wakahangaike na wakenya wenzao huko sio Tanzania Kutupaka matope.Na wakenya wangewaua kweli wakiwa Tanzania kuhudhuria kesi ya Tundu Lisu.Washukuru Tanzania kuwa wako hai hadi leo.
🤣🤣🤣🤣🤣Bora walirudishwa wangeuliwa na wajaluo
 
Vyombo ambavyo Lissu alipigwa risasi kwenye nyumba za wabunge ambazo ulinzi kama CCTV camera na askari lakini hadi leo hakuna aliekamatwa.
Ally kibao alishushwa kwenye basi na baadae kupatikana akiwa ameuwawa...
Hiyo ni mifano michache tuu..
 
Usiwe mtumwa wa historia naongelea vyombo vya ulinzi na usalama vya sasa vilivyomrudisha Kenya Airport jaji mkuu mstaafu wa Kenya na Martha Karua

Hivyo vya zamani sio topic yangu

Wa zamani hata Lisu alikuwa anawabwaga hata hoja za kijinga tu wa sasa moto wa kuotea mbali wawe mahakimu majaji au waendesha mashtaka wa serikali

Wako fit hasa Lisu wala hawababaishi na hawaangalii wazungu au wakenya wahudhuria kesi kuwatishia nyau uwepo wao wanaangalia sheria tu
 
Back
Top Bottom