Watanzania tusitishane jamani, ebo!

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,679
Kwa mujibu wa habari za shirika utangazaji la DW Ujerumani mchana huu, nchi ya Uganda imepata wagonjwa wapya wawili walioingia nchi hiyo kutokea Saud Arabia nchi ambayo haikuwemo ktk orodha ya nchi zenye maambukizi ya Corona.

Sisi Watanzania tuendelee kula bata tu tupo salama sana Mungu wetu ni mwema sana kuliko wao. Kuna Mzungu raia wa Italy mmoja jana alituma ujumbe kule twitter ngoja niutafsiri kwa lugha ya kizalendo.

Nanukuu:

"Ni ujinga wa hali ya juu kuwaza kuwa maambukizi haya hayatawafikia kwakuwa mnasali sana. Huku kwetu Italy watumishi wa Mungu zaidi ya ishirini na nane wamekufa kwa Corona"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini wewe binafsi usijikinge na umuache jirani yako anendekee na maisha yake? Vaa barakoa, osha mikono, hakikisha unajikinga ukikohowa nk. Mwache jirani yako aendele ibada yake na aendelee na maisha yake.
 
Kwa mujibu wa habari za shirika utangazaji la DW Ujerumani mchana huu, nchi ya Uganda imepata wagonjwa wapya wawili walioingia nchi hiyo kutokea Saud Arabia nchi ambayo haikuwemo ktk orodha ya nchi zenye maambukizi ya Corona.

Sisi Watanzania tuendelee kula bata tu tupo salama sana Mungu wetu ni mwema sana kuliko wao. Kuna Mzungu raia wa Italy mmoja jana alituma ujumbe kule twitter ngoja niutafsiri kwa lugha ya kizalendo.

Nanukuu:

"Ni ujinga wa hali ya juu kuwaza kuwa maambukizi haya hayatawafikia kwakuwa mnasali sana. Huku kwetu Italy watumishi wa Mungu zaidi ya ishirini na nane wamekufa kwa Corona"

Sent using Jamii Forums mobile app

Yawezekana walikuwa watumishi wa binadamu kwa mwamvuli wa watumishi wa Mungu.. kwa Mungu hakuna lisilowezekana. Kuitwa pastor, Mchungaji,Padri au nabii haikupi ticket ya kukubalika na Mungu bali wamuabuduo katika roho na kweli na si katika mavazi na kutukuzwa na wanadamu
 
M7 Mbona alisema funga kila mahali
Au ni wazungu tu ndio wanaruhusiwa na Corona yao?
Waliorudishwa mpakani je

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom