Nimekuwa nikifuatilia mambo kadhaa yanyo jitokeza Tanzania, wabongo tumebaki watu wa kusubiri kila jambo wafanye CHADEMA, nasi tushabikie,
so CDM wanapofikia mwisho wao sisi hubaki kuwalaumu, eti hawaja komalia kitu hicho, hoja yangu ni kwamba CDM wamekuwa wakifanya kwa uwezo wao ila sisi huwa tunawaangusha, kumbuka nao ni watu na pia ni viongozi so kuna mambo mengine hawawezi kuendelea kuyachokonoa, ila sisi wananchi wanakuwa wametupa njia(mwanya) wakaanza kuyafuatilia ona mifano
1) inshu ya posho bungeni, jamaa nao ni watu nao pia wanapenda kupata fedha, so siyo rahisi kuendelea kukomalia inshu kama hiyo ,lakini kwakuwa walisha oyesha njia ilikuwa zamu ya wananchi kuanza kukomalia hiyo habali ya posho, walau kupitia taasisi kama vile TAMWA,TGNP,HAKI ZA BINADAMU, TUCTA na wananchi wa kawaida
20) Ongezeko la posho bungeni toka 70000 hadi 200000, nako pia wananchi wangekuwa wamepata sehemu ya kuanzia japo kwa hili nawashukuru TUCTA kwa kuliona
3) Ufisadi
4) Katiba mpya, hapa tumebaki kuwa mashabiki tu kushangilia hotuba zilizo kufa kama zile za JK kwa mizee ya CCM dsm