Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,457
- 1,409
Mtu anayesema hadharani haki za binadamu sio kipaumbele siwezi kumuunga mkono hata akianza kutulipa 5m kila mtanzania. Mleta mada aje kujibuAfu mara nyingi nimewaomba japo muorodheshe matusi ambayo wapinzani huwatukana viongoz pind wanapokuwa majukwaani lakin cjawah pewa, naomba uorodheshe japo 5
Mtakuja kujuta na sijui mtakimbilia wapi chukueni mfano kwa majirani zenu. I support magufuli 100%Kwanin mnatumia nguv kubwa sana kutaka watz tumpende rafiki wa m7? Akili ni nywele na kila mtu anazake. Leo nikisema watz wasipowaunga mkono upinzani watakuja kulia na kusaga meno, kwan ni lazma wapinzan waungwe mkono? Msitupangie cha kufanya coz wenye akili tushamjua mapema sana.
viva magufuliMtakuja kujuta na sijui mtakimbilia wapi chukueni mfano kwa majirani zenu. I support magufuli 100%
Haki za binadamu zinatakiwa zianzie nyumbani kwako kwanza je unazitimiza? Je huwa huwachapi watto wako/ mke wako. Sasa haki za binadamu ziko wapiMtu anayesema hadharani haki za binadamu sio kipaumbele siwezi kumuunga mkono hata akianza kutulipa 5m kila mtanzania. Mleta mada aje kujibu
washamba sio tusiAfu mara nyingi nimewaomba japo muorodheshe matusi ambayo wapinzani huwatukana viongoz pind wanapokuwa majukwaani lakin cjawah pewa, naomba uorodheshe japo 5
hatukukubali demokrasia ya kutukana na kuwakebei viongozi sio utamaduni wetu hatukukubali demokrasia ya kurudisha nyuma maendeleoTulipokubali Demokrasia tulikubali kutofautiana mawazo..
Hivyo basi Rais hawezi ungwa mkono na kila mmoja kamwee..
Ila nadhani tutumie akili zetu tuu maana yapo mambo yanayofanywa kwa ustawi wa nchi yetu yanayopaswa kuungwa mkono, utofauti wetu uwe katika siasa ila linapokuja suala la nchi tukemee wote anapokosea na tumuunge mkono anapopatia.
Swali. Uchumi wa Mwl. Nyerere ulianguka na Ujamaa tukauyumbisha,hivyo naye alikuwa pandikizi? Tatizo kubwa ni ubinafsi wetu viongozi hasa wa Kiafrika. Mtu anaomba kura,na anaahidi kushirikiana na kila mtu atakpochaguliwa. Akishachaguliwa,anabadilika na kusema"Nisikilizeni mimi tu na yeyote asiongee,matatizo yenu yote nayafahamu". Je,hiyo ni kweli?hawa mapandikizi Mungu alishaamua kuwaumbua, Libya hatuwezi fika. Tunajua wapo hao mapandikizi wa wawazungu, wanafanya kazi ya kutetea wazungu, lengo lao ni kuivuruga nchi.