Wana jamvi.
MaJuzi mmesikia USA waki conderm majanga yaliotokea ktk nchi yetu nzuri. Na E.U kuzuia msaada wao wa 180 million Dollars kwa kisingizo hicho hicho.
Juzi Balozi wa USA nchini amesaini mikataba mikubwa mitatu ya makampuni ya MAREKANI kuwekeza Hapa Nchini.
Sasa wale ambao wanadhani wanaweza kufanya wanachotaka kwa kudhani Wakoloni watawasapoti kwa mfano huu inatosha kabisa kufahamu kuwa wenye kuweza kuiinua Tanzania ni watanzania WENYEWE na Sio Vijana wezi waliotoka nje ya Tz walifuatana na vijana wetu wasiojitambua wala
mkoloni wala nchi yyt ya Nje.
Watu wasitumiwe na wenye nia mbaya na nchi yetu kuiharibu na kuturudisha miaka 100 nyuma.
Hakuna chama chochote kisicho na kasoro. Na tunakubali wote kuwa bado Tanzania kuna mafisadi na mapungufu mengi mno. Lkn insiwe sababu ya kuiharibu nchi hii.
Wengi wetu tumeona maafa ya kuruhusu WAHUNI kuwalisha kero za wananchi mitaani .
Wale majambazi wameua askari na kuvunja na kuiba mali za watanzania. Matokea yake askari wamerudisha mashambulizi na kusababisha wasio husika kupoteza maisha.!
Nawaita majambazi sababu hakuna maandamano yanayovunja DUKA LA MTU na kuchoma gari ya mtu na nyumba za wananchi wanyonge au kulenga MIUNDO MBINU INAYO WASAIDIA WANANCHI kisha ukawaita hao wakombozi.
Hao wataitwa MAJAMBAZI mpk siku ya mwisho
Tutulize vichwa tutafakari kipi cha kufanya ili kero za vijana vifanyiwe kazi.
LIBYA walisema Gaddafi ni Dictator wakamuua.
IRAQ walisema SADAM ni Dictator wakamuua.
Leo nani anataka kwenda LIBYA au IRAQ?
WAZUNGU wameitamani hii nchi miaka mingi sana na wanamiminika kuwekeza huku wakidanganya watanzania kuwa wanajali .
Tusipo amka sasa. Kinachokuja mbele hatutopata wa kumlaumu ispokuwa Sisi wenyewe.
Na yeyote atakaejifanya ANA KIBURI au kudhani Tanzania ni BANANA REPUBLIC kwamba unaweza kuingia mitaani na kuvunja na kuua ASKARI na kuchoma unachotaka atakuwa amejitakia full force ya DOLA KUMUANGUKIA.
Sasa kazi kwetu.
Remember. Your life is more precious than anything in this ugly world.
Takataka. Mbona wakiwapo misaada hamsemi wanawayumbisha au ni sizitaki hizi mbichi.Wana jamvi.

Wezi wa mali za Tanganyika:Wana jamvi.

Umenena point muhimu sana.Acheni kuteka watu π
Tendeni haki π
Wasikilizeni wananchi π
Punguzeni ufisadi π
Ruhusuni katiba mpya π
Inueni uchumi wa watu wengi π
Ruhusuni tume huru ya uchaguzi π
Shughulikeni na ajira kwa vijana π
Punguzeni nepotism π
Kutoyazingatia haya machache kutazidi kuchochea moto mioyoni mwa watu. Na nchi haitakuwa salama. Kunaweza kuwa na utulivu lakini kusiwe na amani. Ni kama kuwa na bomu chini ya kitanda chako!
Kwa sasa mnaweza kufurahi na kupongezana kuwa mmefanikiwa kuzuia maandamano tena kwa gharama kubwa ya ku-mobilize jeshi utafikiri nchi imo vitani lakini wananchi mnaowaongoza wana hasira na visasi. Na huwezi kutawala watu ambao hawakukuchagua na hawakutaki. Wengi walishajaribu wakashindwa na hawakuwa na mwisho mwema.
Samia atajaribu kutawala kwa kutumia mitutu ya bunduki, kuteka na kuua watu lakini hataweza na, kama historia ni mwalimu sahihi, hatakuwa na mwisho mzuri. Na ataishia katika pipa la takataka la historia kama kiongozi katili, muuaji, fisadi na asiyejali.
Anajua hakuchaguliwa na wananchi. Anajua hakupata kura milioni 32. Anajua hakushinda kwa 98%. Anajua uchaguzi ulivurugika. Anajua alijiapisha kimagumashi. Anajua siyo rais halali. Anajua anaongoza serikali haramu. Basi angalau ajaribu kutenda haki ili ajikongoje na hii miaka mitano yake ambayo itakuwa mirefu na ya mateso sana kwake hasa akiendelea na huu udikteta wake.
Mungu Aendelee kuibariki nchi yetu hii nzuri yenye kila kitu lakini inaharibiwa na wanasiasa wasio na maono, walafi, wauaji, mafisadi na wasiojali! ππΏππΏππΏππΏ
View attachment 3513735
We kwa ufahamu wako mzungu anatoa msaada bure? Au basi tu umeamua kuandika sababu JF ni bure?Takataka. Mbona wakiwapo misaada hamsemi wanawayumbisha au ni sizitaki hizi mbichi.
Wewe gaidi mwenye sigda, hebu tuambie unatumia akili gani kufikiria?We kwa ufahamu wako mzungu anatoa msaada bure? Au basi tu umeamua kuandika sababu JF ni bure?
Mi nadhani Jf wakiweka fee kwa kila mstari unaondika wengi humu mtashikisha sana fikra kabla ya jazba.
Mzungu hana shida na mtu mweusi km mimj na wewe . Anataka mali yako tu hakuna kitu kinaitwa Msaada Kutoka kwa mkoloni.
Tena saana.Heheheh njaa ni mbaya wajameni