Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,294
- 3,188
Habari zenu wana jf
Baada ya mihangaiko ya wiki nzima nikaona nifuatilie speech zote za raisi na amiri jeshi mkuu tokea uapisho wake mpaka sasa ila nilichogundua sisi watanzania tupo huku na huku maana yake
Mtanzania usimuamini leo unaweza kumkuta kwenye amani na kesho ukamkuta kwenye maandamano...
Mtanzania ni mtu anayeamini la kusikia zaidi bila kufanya utafiti..mfano unamkuta mtu anamuelezea Abdul mtoto wa raisi kama vile anamjua kisa kasikia kwa fulani anamsema...naye ana copy na kupaste anaenda kuwakilisha kijiweni..
Suala kufuata mkumbo na vijana hawajui ni haki gani wanayoipigania kwa mtazamo wangu kuna ukweri vijana wengi walifuata mkumbo baada ya kusikia kelele nje naye akajiunga bila kujua kifo kinàmuita (ila sio wote).hasa watu wa dar es salaam walifuata mkumbo..
Mtanzania usimuamini hatujui tunatakaga nini..kwenye mvua atatamani jua na kwenye jua atatamani mvua nature yetu (uswahili)ndo iko ivo automatic.
Ntaingia road kudai haki yangu mbele akiwepo mange kimambi sativa,maria sarungi na wanaharakati wote bila hivo tutazidi kupoteza raia wasio na hatia
Happy sunday🙏👇