Watanzania tupewe nini na Mwenyezi Mungu?!

Watanzania tupewe nini na Mwenyezi Mungu?!

Wewe kweli ni empty headed Mimi sina chama pia najielewa na simpendi kabisa dikteta uchwara.
Acha kuniquote wewe ni dunce.
Nani kakwambia wewe ni chama fulani,mbulula hamtaisha hapa nchini aisee
Kama wewe ni mtegemea ajira umeajiliwa na serekali unajaribu kumchukia Rais unajidanganya,nenda Dodoma fasta huna ujanja
 
Nyie ni kati ya watu msiyojielewa,kila wanapolalia viongozi wa upinzani tena kwa maslahi yao na msiojiongeza mnalala nao,sasa hv eti mmeshasahau mwaka juzi mlikua mnasema nin juu ya kiongozi alokuwepo na kiongozi anaetakiwa kuwepo kwa kipindi kijacho ambacho ndo hiki,mliemsema anatakiwa kuiongoza TZ na sifa mlizotoa ndo anazo huyu wa sasa,lakini tena mmebadilika,yani hamjielewi
Nani analalia wanapolala viongozi wa upinzani.
Wewe ni bone head/dolt.
Empty vessels makes more noise.
Nani kakwambia wewe ni chama fulani,mbulula hamtaisha hapa nchini aisee
 
Mungu katugea magufuri lazima tumtumie ili atufikishe sehemu salama
 
huyo uliye mwagia sifa za kila aina tunata akubali kukosolewa kwa sababu hamnaga binadamu asiye kosea.
 
Ni kweli kabisa mkuu, mimi ninamkubali sana mheshimiwa rais Magufuli. Mimi naamini kuwa, baada hata ya miaka michache tu ya yeye kuwa rais mabadiliko chanya makubwa ya kiuchumi yatajitokeza. Mungu amlinde na kumbariki Rais wetu mpendwa Dr John Pombe Joseph Magufuli. Amina.
 
Back
Top Bottom