Wanajf, Binafsi nimependezwa na maamuzi waliyofanya wahindi na wamalawi ktk chaguzi nchini mwao, je kwa hamasa na woga tulionao na tunavyotishwa ktk kufanya mageuz twaweza? au tuwe kama Thailand?
Tanzania inasikitisha sana..mm wakati mwingine nasema ccm watafune nchi mpaka watu watembee na funza miguuni ndo labda watabadilika.. watu ka tundu lisu nk wanaacha kazi kwenye mashirika ya kimataifa wanawapigania lkn wapi..kuna shida somewhere

Ni kweli mkuu na sasa kama bunge la katiba ni vile..mtu anakremishwa maneno ya kusema je..mwananchi wa kawaida wapinzani wameimba wee, wamerisk maisha yao wamekoswa na mabomu na risasi wapi..! watu kama kileo kaacha mke na watoto kaenda kuwekwa rumande igunga tabora..lakini wapi..Mkuu bado wengine huko vijijini wanafikiri raisi bado ni Nyerere na wanaamini ni mwiko kukipigia kura ya hapana chama ambacho si cha Nyerere.Pia ukitaka kujua Watanzania wengi tulivyo na akili mgando nafiri uliona wajumbe wa bunge la katiba mambo waliyokuwa wanayafanya,hapo ndio ujue safari yetu ilivyo ndefu.
Ni kweli mkuu..watu wanasema vijijini nenda mjini hapo mbagala uone watu wanavyopigania mabasi na kusimama kwenye mabasi..lkn anzisha mjadala wa kukichambua chama tawala uone watu wanavyo kuponda.. na mtu mzima na akili zake anakuponda huku kasimama kashika bomba hata kugeuka hawezi.. lkn atakwambia chama kimeleta maendeleo bana..Not somewhere, vichwani, to be specific. Na mpaka shida hiyo itakapoondolewa, tutaendelea na maisha hayahaya ya kijinga. Kwamba serikali inashindwa kutekeleza wajibu, hali ya uchumi inakuwa ngumu, maisha yanapanda mpaka mtu anapata mlo mmoja kwa siku, halafu mtu huyohuyo unamkuta kesho amejifunga kibwebwe na mayunifomu ya chama hichohicho kinachomtia umaskini.
Ndiyo maana naungana na wanoamini kuwa umaskini wa kukosa akili, ni umaskini wa kiwango cha juu kuliko umaskini wowote.
Ni kweli mkuu..watu wanasema vijijini nenda mjini hapo mbagala uone watu wanavyopigania mabasi na kusimama kwenye mabasi..lkn anzisha mjadala wa kukichambua chama tawala uone watu wanavyo kuponda.. na mtu mzima na akili zake anakuponda huku kasimama kashika bomba hata kugeuka hawezi.. lkn atakwambia chama kimeleta maendeleo bana..
Mkuu acha tu..sisi waabongo hatutaki kufanya effort yoyote kisiasa kuibadili hii hali..Mkuu umenichekesha sana dah!
Wanajf, Binafsi nimependezwa na maamuzi waliyofanya wahindi na wamalawi ktk chaguzi nchini mwao, je kwa hamasa na woga tulionao na tunavyotishwa ktk kufanya mageuz twaweza? au tuwe kama Thailand?