Watanzania tunashangazwa na ukimya wa Rais Magufuli baada ya kupokea report ya CAG

jiwe a napenda sifa anataka mambo ayaibue mwenywe na ayamlize mwenywe.

kw maan nyingn he likes to be called a hero
 
Ni takriban siku 10 toka Rais magufuli apokee report ya CAG. Cha kushangaza amekuwa kimya mpaka sasa utadhani sio yule aliyekuwa akijitamba ni kiboko wa mafisadi. Kwanza report kaipokea kimya kimya.

Tulitengemea angekuwa wa kwanza kumpongeza CAG kwa kazi nzuri aliyofanya ya kugundua madudu mbalimbali katika taasisi mbalimbali za serikali. Ila mpaka sasa hajawai kutamka neno CAG kwenye kinywa chake.

Tunakuwa na wasiwasi kama ni kweli ndye aliyeanzisha vita ya mafisadi au imekuwa kinyume yake sasa. Wengine tunaanza kuhisi kuwa ndye anakingia kifua mafisadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na mazoea ya kutia mkono chunguni.......?
 
Huwezi lisukuma GAri ukiwa ndani ni lzm ushuke.Huwezi itenganisha ccm na ufisadi ni sawa na leba na mzazi
 
Huyu ni Zaid ya Lissu.ukiuwa mmoja wanaibuka wengine 100.Bashiru miti yote imeteleza kaondoka kwa aibu madarakani
 
Atuambie kulikoni Miaka 2 sasa ripoti zote kodi zetu si Salama je kuna haja ya kuendelea kumpa ridhaa tena kama kashindwa simamia kodi zetu zinapigwa hovyohovyo
 
Shida ni pale mwanao anapokutonya kuwa mama anachepuka.
Mkeo unampenda na mwanao unamwamini tena sana tu.
Hapo lazima utafakari kidogo kabla ya kuamua.
 
Hii ripoti inaonesha madudu mengi kufanywa na ofisi za umma ambazo si IKULU.

Na pia madudu mengi yalifanyika mwishoni mwa 2015/2016 financial year mfano la polisi Mh.Rais amekuwa akilisemea kila mara.

Kama kuna madudu ya ndani ya kipindi chake nafikiri ni kuwa hoi kwa mashirika ya umma kama ATCL na mengine aliyotaja CAG ambayo hayapewi pesa.

Kwa ujumla hili swala si la Mh. Rais pekee kama tunavyoliangalia. Watanzania tumekuwa wabadhirifu wa mali za umma kila mtu ktk ofisi aliyoaminiwa na kukabidhiwa kuisimamia imekuwa shamba lake.

Je. Mh. Rais pekee ataweza kupambana na kutatua/kukomesha kadhia hii.

Au mambo haya ni hujuma za makusudi?

Aliyerundika ndege za hasara kisha akazuia hela isizunguke ni nani?Hujuma inatoka wapi sasa
 
Mbona hayo madudu yanajulikana tangu mwaka jana? Kwani wewe mambo ya Lugumi ulikuwa huyajui? Sare za Polisi magari ya polisi tangu 2015 na yalishaongelewa hata kwenye PAC iliyopita mwaka jana. Rais alishayaongelea sana tu mwaka jana. Labda hili la Chadema na CCM ndiyo mapya!
Hayatakiwi yaongelewe tu bali yafanyiwe kazi ili fedha za umma zilizopigwa zirudi na wapigaji washughulikiwe hata wachakazwe wasirudie tena au wengine wasiige ufisadi wao.
 
Ni takriban siku 10 toka Rais magufuli apokee report ya CAG. Cha kushangaza amekuwa kimya mpaka sasa utadhani sio yule aliyekuwa akijitamba ni kiboko wa mafisadi. Kwanza report kaipokea kimya kimya.

Tulitengemea angekuwa wa kwanza kumpongeza CAG kwa kazi nzuri aliyofanya ya kugundua madudu mbalimbali katika taasisi mbalimbali za serikali. Ila mpaka sasa hajawai kutamka neno CAG kwenye kinywa chake.

Tunakuwa na wasiwasi kama ni kweli ndye aliyeanzisha vita ya mafisadi au imekuwa kinyume yake sasa. Wengine tunaanza kuhisi kuwa ndye anakingia kifua mafisadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni vizuri asiongee maana atatuletea hesabu sizo
Kwa ufupi ujumbe ameupata kwani ni mhusika pia wa ubadhilifu huu
 
Huyu Mzee hata haeleweki anasimamia nini kwa kwelo. Anajifanya anapinga ufisadi kwa muonekano wa nje,lakini kiuhalisia na yeye ni fisadi namba moja.

Huyu Mzee, akisikia watu wamepiga hata 10M basi lazima akipata kaupenyo cha kuhutubia wananchi lazima azungumzie hiyo 10M ilivyopigwa na wajanja,lakini leo amepata taarifa za wapigaji za kutisha mpaka sasa ni zaidi ya siku 10 lakini hajasema chochote. Mungu alivyo-mwema basi, wiki hii zote yupo kwenye dhiara zake za mikoani,kwahyo kila siku anapata airtimw ya kuhutubia wananchi,lakini amejikausha kama vile siyo yeye vile !!!. Kweli unafki ni KIPAJI.

Sent using Jamii Forums mobile app
It seems wewe na mleta thread ni ma-bogus kweli kweli. Kwanza sehemu kubwa ya wizi unaotajwa kwenye ripoti ya CAG ulifnyika enzi za utwala wa Kikwete. Pili wengi wa wahusika wa wizi unaotajwa (NHIF, Police HQ, NEC, NSSF na kwingineko) waliishachukuliwa hatua na serikali ya wamu ya tano - kwa kuondolwa kazini kwa kufukuzwa kazi au kuhamishwa, kuchukuliwa hatua za kinidhamu au kisheria na kadhalika. Kuna kesi kibao ziko mahakamani na watuhumiwa wako rumande. Someni ripoti ya CAG kujua kwa uhakika kinachozungumzwa mle siyo kupiga porojo tu, kama, kwa mfano, leo, nimemsikia KUB Mbowe akiwatetea watuhumiwa wa ufisadi akishauri serikali, badala ya kuwashitaki mahakamani kwa mujibu wa sheria (akitolea mfano wa Kisenha wa UDA na mkewe), kujadiliana na watuhumiwa hao! Nonsense kabisa.
 
Back
Top Bottom