Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,390 Reaction score 39,921 Mar 1, 2010 #61 Ubungoubungo said: rudini home, mnafanya nini kwenye kinchi masikini huko, Click to expand... ..wakisharudi unazo kazi za kuwapatia ili waendelee kusaka maisha?? ongea vitu vya akili wewe kalumekenge
Ubungoubungo said: rudini home, mnafanya nini kwenye kinchi masikini huko, Click to expand... ..wakisharudi unazo kazi za kuwapatia ili waendelee kusaka maisha?? ongea vitu vya akili wewe kalumekenge
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,390 Reaction score 39,921 Mar 1, 2010 #62 Bi Tarabushi said: Zaidi ya watu 5000 wamekusanyika na kupigwa picha wakiwa uchi in the name of art and diversity. Kweli dunia iko ukingoni.. Click to expand... hii post yako inahusiana kuwapa relief watanzania wanaonyanyasika malawi?? gimme break bana! lol
Bi Tarabushi said: Zaidi ya watu 5000 wamekusanyika na kupigwa picha wakiwa uchi in the name of art and diversity. Kweli dunia iko ukingoni.. Click to expand... hii post yako inahusiana kuwapa relief watanzania wanaonyanyasika malawi?? gimme break bana! lol
M-bongotz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,736 Reaction score 411 Mar 1, 2010 #63 Rudini home hata huku mnaweza kufanya hizo biashara, kwanini mnyanyasike utadhani wakimbizi wakati na nyie mna kwenu?
Rudini home hata huku mnaweza kufanya hizo biashara, kwanini mnyanyasike utadhani wakimbizi wakati na nyie mna kwenu?
Edgartz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 241 Reaction score 23 Mar 1, 2010 Thread starter #64 Tunashukuru kwa mawazo na ushauri na mungu awabariki wana JF wote kwa kuwa na busara na hekima, Asanteni woto!
Tunashukuru kwa mawazo na ushauri na mungu awabariki wana JF wote kwa kuwa na busara na hekima, Asanteni woto!
Edgartz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 241 Reaction score 23 Mar 1, 2010 Thread starter #65 Tunashukuru kwa mawazo na ushauri na mungu awabariki wana JF wote kwa kuwa na busara na hekima, Asanteni wote!
Tunashukuru kwa mawazo na ushauri na mungu awabariki wana JF wote kwa kuwa na busara na hekima, Asanteni wote!
Edgartz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 241 Reaction score 23 Mar 2, 2010 Thread starter #66 Hatimae watanzania wenzetu waliokuwa wanasotea gerezani toka juzi waachiwa huru ila paspot zao hawajapatia zipo kwa maafisa wa uhamiaji!
Hatimae watanzania wenzetu waliokuwa wanasotea gerezani toka juzi waachiwa huru ila paspot zao hawajapatia zipo kwa maafisa wa uhamiaji!
H HUBERT MLIGO Member Joined Oct 23, 2009 Posts 46 Reaction score 0 Mar 2, 2010 #67 Hivi Hakuna ubalozi wa Tanzania hapo Malawi...Na kama upo haujapata taarifa zozote juu ya kunyanyaswa kwa watanzania...Na kama wamepata inamaana balozi anakula bata tu...Kama hajapata fanyeni juhudi haraka muwasiliane nae.
Hivi Hakuna ubalozi wa Tanzania hapo Malawi...Na kama upo haujapata taarifa zozote juu ya kunyanyaswa kwa watanzania...Na kama wamepata inamaana balozi anakula bata tu...Kama hajapata fanyeni juhudi haraka muwasiliane nae.