Watanzania tunakwama wapi hata wengine wachukue uhamuzi huu?

Watanzania tunakwama wapi hata wengine wachukue uhamuzi huu?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,206
Reaction score
25,399
Mashabiki wa mwanamuziki maarufu nchini marekani aitwaye Ludacris, wamejawa na wivu baada ya mwanamuziki huyo kutangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa amepewa uraia wa asili ya mkewe nchini Gabon.

Alitangaza hatua hiyo wakati wa sherehe za mwaka mpya na kusema "Naanza mwaka mpya nikiwa na uraia wa nchi mbili, afrika ambapo mke wangu na familia yangu wote tumepewa.

Screenshot_20200106-203047.jpg


NB. Mara nyingi nchi kama Gabon huwa wanaona fulsa flani hawatoi Uraia hivi hivi tu, sisi kama taifa tunakwama wapi?
 
Shemeji wa wakina Trump ana upaja.

Samahani mkuu kwa kutoka nje ya mada.
 
Back
Top Bottom