Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,580
- 81,535
Wivu unakusumbuaChama tawala hakijawahi kujali maisha wala Afya za Watanzania
Katika pita pita zangu hapa JF na mitandao mingine naona watu wanashangilia sana Magufuli kuagwa kwa nyomi ya watu.
Kuna wengine wana "spam" nyuzi za wengine kwa picha za kujirudia rudia zikionyesha idadi kubwa ya watu waliojitokeza tokea jana mpaka leo katika uwanja wa Uhuru na barabarani kumuaga Hayati John Magufuli. Mfano mama D
Wengine wamefungua nyuzi kabisa kusifia mafuriko katika kumuaga Rais Magufuli. Mfano Nyani Ngabu
Shida yangu sio Hayati Magufuli kuagwa na watu wengi. Tatizo ni kuwa je bado Watanzania hatutaki kuelewa uhalisia wa hali ilivyo kuhusu janga la dunia nzima la covid-19?
Je sisi Tanzania ni nani mpaka tupuuze kwa kiasi hiki? Je hakuna watu wanaougua Corona Tanzania? Hakuna wanaokufa kwa corona?Tukificha tunamkomoa nani?
Hii mikusanyiko sio jambo la kushangilia kwa mtu yeyote anaejielewa.
Tunahitaji reality check. Tunahitaji kukumbushwa hali halisi ilivyo.
Kwa nini wewe hauko bize kuwaambia wanamchi kuhusu hiyo reality check badala yake una wivu na maiti?Katika pita pita zangu hapa JF na mitandao mingine naona watu wanashangilia sana Magufuli kuagwa kwa nyomi ya watu.
Kuna wengine wana "spam" nyuzi za wengine kwa picha za kujirudia rudia zikionyesha idadi kubwa ya watu waliojitokeza tokea jana mpaka leo katika uwanja wa Uhuru na barabarani kumuaga Hayati John Magufuli. Mfano mama D
Wengine wamefungua nyuzi kabisa kusifia mafuriko katika kumuaga Rais Magufuli. Mfano Nyani Ngabu
Shida yangu sio Hayati Magufuli kuagwa na watu wengi. Tatizo ni kuwa je bado Watanzania hatutaki kuelewa uhalisia wa hali ilivyo kuhusu janga la dunia nzima la covid-19?
Je sisi Tanzania ni nani mpaka tupuuze kwa kiasi hiki? Je hakuna watu wanaougua Corona Tanzania? Hakuna wanaokufa kwa corona?Tukificha tunamkomoa nani?
Hii mikusanyiko sio jambo la kushangilia kwa mtu yeyote anaejielewa.
Tunahitaji reality check. Tunahitaji kukumbushwa hali halisi ilivyo.
Hata ikitokea ajali watu hujaaa kushangaaTanzania tunasafari ndefu eti mkusanyiko wa watu inaonyesha mtu alikuwa anapendwa kweli, pia kipindi hichi cha covid-19 huo mrundikano na ugonjwa ulivo, Mimi namwomba Samia ajikinge aanze kuvaa barakoa na ajiepushe na misongamano
Mie nadhan covid kwa kila mtu inamsumbua kwa state tofauti kbs....sidhan km ikinitetemesha mm na mwingine itamtesa same..thats y wanajiachiaTanzania tunasafari ndefu eti mkusanyiko wa watu inaonyesha mtu alikuwa anapendwa kweli, pia kipindi hichi cha covid-19 huo mrundikano na ugonjwa ulivo, Mimi namwomba Samia ajikinge aanze kuvaa barakoa na ajiepushe na misongamano
Katika pita pita zangu hapa JF na mitandao mingine naona watu wanashangilia sana Magufuli kuagwa kwa nyomi ya watu.
Kuna wengine wana "spam" nyuzi za wengine kwa picha za kujirudia rudia zikionyesha idadi kubwa ya watu waliojitokeza tokea jana mpaka leo katika uwanja wa Uhuru na barabarani kumuaga Hayati John Magufuli. Mfano mama D
Wengine wamefungua nyuzi kabisa kusifia mafuriko katika kumuaga Rais Magufuli. Mfano Nyani Ngabu
Shida yangu sio Hayati Magufuli kuagwa na watu wengi. Tatizo ni kuwa je bado Watanzania hatutaki kuelewa uhalisia wa hali ilivyo kuhusu janga la dunia nzima la covid-19?
Je sisi Tanzania ni nani mpaka tupuuze kwa kiasi hiki? Je hakuna watu wanaougua Corona Tanzania? Hakuna wanaokufa kwa corona?Tukificha tunamkomoa nani?
Hii mikusanyiko sio jambo la kushangilia kwa mtu yeyote anaejielewa.
Tunahitaji reality check. Tunahitaji kukumbushwa hali halisi ilivyo.
Mwenyewe covid-19 iliwahi nitesa sitakaa nisahau nikajua kufa kumbe ni rahisi hvo au usicheze na kubanwa na kifua nikawaza ningekuwa na magonjwa makubwa ka kisukari sijui pressure ningeenda na maji. All in all tuchukue tahadhari na kumwomba Mungu atulinde maana watu wazima hawachukui roundMie nadhan covid kwa kila mtu inamsumbua kwa state tofauti kbs....sidhan km ikinitetemesha mm na mwingine itamtesa same..thats y wanajiachia
Pole sana...Mwenyewe covid-19 iliwahi nitesa sitakaa nisahau nikajua kufa kumbe ni rahisi hvo au usicheze na kubanwa na kifua nikawaza ningekuwa na magonjwa makubwa ka kisukari sijui pressure ningeenda na maji. All in all tuchukue tahadhari na kumwomba Mungu atulinde maana watu wazima hawachukui round
Ni kama ile ajali ya morogoro gari la mafuta watu walikimbilia kilicho wakuta walijuta. In short watanzania hukimbilia majanga wenyeweHata ikitokea ajali watu hujaaa kushangaa
Wabongo kawaida yetu kushangaa na kuja kusimulia
AsantePole sana...