Watanzania tunaendelea au tunarudi nyuma?

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
57
Katika miaka ya nyuma tulikuwa tukiambiwa vita kubwa ya Tanzania ni dhidi ya maradhi, umasikini na ujinga. Baada ya miaka mingi tangu tupate uhuru je Tanzania imeshinda katika vita hivyo? Ujinga, maradhi na umasikini baina ya watanzania vimeondoka na kutoweka au ndio kwanza yamezaliwa matatizo mengine kama ufisadi, giza na utendaji mbovu wa viongozi? Mchango wenu wana JF ni muhimu kama ambavyo penye wengi pana mengi....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom