Hapo ndipo unapoanza kujikataa na kujikana nafasi, kuwa huyu ni Mimi kweli?...Siku zote wahenga husema Kimya ni silaha kubwa Sana, hata kama Una kitu hukubaliani nacho basi usiwe mwepesi wa kuongea haraka namna hiyo, stori ishakuwa tofauti sasa...watu ni wanafiki Sana.