Watanzania tukubali tukatae, tumekosea tena

e
Huna uelewa wewe afadhali ungezaliwa jiwe ungekuwa na faida.
Kenya Mwai Kibaki alikuwa kanu mpaka mwisho akajiunga na kuleta mabadiliko ya kweli. Pia kumbuka Mwai Kibaki ni Mmoja wa mafisadi wa Kenya katika wakenya wanne wanaomiliki nusu aridhi ya Kenya naye yumo. Ila ndiye Rais pekee aliyeleta mabadiliko ya kweli.
wee vipi fisadi kibaki aliimarisha nini kenya zaidi ya kuimarisha ufisadi.
 
kifupi ni kwamba mwaka huu watanzania tumepatikana.Yaani tumechagua rais mwenye PHD kwa mara ya kwanza katika taifa hili la Tanzania lakini kwa muda mfupi huu wenye akili timamu washaona tuendako na kwamba dalili zishajionyesha kuwa bora tungechagua mhitimu wa VETA kuliko PHD ya aina hii.
Mungu asipoleta nusura yake hapa sijui itakuwaje tanzania yetu
me yangu macho
 
sasa wewe si unataka seif kujitangazia mwenyewe urais ndio iwe suluhu? sasa wenzake hawakubali uhuni. seif na cuf siku zote wanajidai ndio washindi kitu ambayo ni uongo. hadi zec inafuta matokeo ccm ndio walikua wanaongoza mbona wao hawalazimishi kutangazwa washindi? watu wasifanyiane masihara.
Akili yako ina utata kidogo ninda kanyoe nywele yawezekana zimezidi zinakuchanganya mpaka hujitambui kama unamwaga uhalo mtupu.
Sheria ipi inasema mtu akijitangaza Uchaguzi ufutwe?
 
Huna uelewa wewe afadhali ungezaliwa jiwe ungekuwa na faida.
Kenya Mwai Kibaki alikuwa kanu mpaka mwisho akajiunga na kuleta mabadiliko ya kweli. Pia kumbuka Mwai Kibaki ni Mmoja wa mafisadi wa Kenya katika wakenya wanne wanaomiliki nusu aridhi ya Kenya naye yumo. Ila ndiye Rais pekee aliyeleta mabadiliko ya kweli.
Wewe ni nyumbu mimi nilikataa kuwa nyumbu, nilichanganya kujitetea kwao na akili zangu nikaona hamna la maana. Ni mtaka madaraka amekutana na wapiga dili (wa kwanza akiwa Mbowe basi deal ikawa done) nipe hoja za msingi zinazomsafisha lowassa zaidi ya kusema ni silaha adui kaitupa
 
Weka hapa vielelezo vya ufisadi vyake.
Maana mtu kama Chenge ushahidi upo.
 
Tulijipa moyo baada ya kuona push ups na viduku tukajua sasafari hii CCM watakua wapya kabisa baada ya kutudanganya kwa miaka zaidi ya 50.

Lakini sasa ni wazi tumekosea zaidi ya mara zote...

Kiongozi wa nchi ambaye hajali masilahi ya wananchi wa chini ambao ndo hasa wapiga kura huyo mtu ni mbaya sana,

Zanzbar karibia hali ya hewa inachafuka yeye wala mapigo ya moyo haya shituki!

Mzazi wa dunia ipi anayeona wanawe wanataka kutoboana macho asitafute nanî mchokozi na kuwarekebisha?
Kama ccm waliona na kusikia vifo vya watu kama David Mwangosi watawala walifanya nini?
 
Back
Top Bottom