Tulijipa moyo baada ya kuona push ups na viduku tukajua sasafari hii CCM watakua wapya kabisa baada ya kutudanganya kwa miaka zaidi ya 50.
Lakini sasa ni wazi tumekosea zaidi ya mara zote...
Kiongozi wa nchi ambaye hajali masilahi ya wananchi wa chini ambao ndo hasa wapiga kura huyo mtu ni mbaya sana,
Zanzbar karibia hali ya hewa inachafuka yeye wala mapigo ya moyo haya shituki!
Mzazi wa dunia ipi anayeona wanawe wanataka kutoboana macho asitafute nanî mchokozi na kuwarekebisha?