Samahani dogo,wewe ndo Mazengo boy 2000-2003 auto electrical?Mazengo boy for real....jambo moja ujue na uliweke kwenye akili yako na ufahamu: nchi hii si mali ya chama cha siasa kiwacho chochote. ni mali yetu Watanzania.
Mkuu.....samahani....hivi kuna tofauti kati ya mbunge mpinzani na tawala katika kutekeleza majukumu yake ya maendeleo jimboni??? Kama ipo basi tupo kwenye hasara..........DR.Slaa, Mbowe na Zitto walishawahi kukusanya hata senti moja ya Kodi katika nchi hii?
Hivi huyu Mleta Mada alipata wapi ujasiri wa kuandika haya mashudu katika hili jukwaa?Kama wewe kweli ni msomi basi utakuwa umetuaibisha wasomi wote wa Nchi hii.You cannot stoop this low,Really!You shouldn't let your stomach rule your head!