Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,307
- 33,925
Wewe si ndiyo CCM wenyewe sasa nakuondoaje? Halafu kwa nini unaona ni ujinga?Pambana na hali yako na niondoe mimi katika huo ujinga wako!
Msalimie mwenziyo wa Songea,tunawafahamu!Wewe si ndiyo CCM wenyewe sasa nakuondoaje? Halafu kwa nini unaona ni ujinga?
Wenzenu Interahamwe walianza kuwaita wanyarwanda wenzao "Mende" kisha wakaanza kuwaua. Hapa siku hizi UVCCM kila anayeipinga CCM anaitwa msaliti na wenyewe CCM wanaanza kuuliza "Mnaijua adhabu ya wasaliti ni nini?"Msalimie mwenziyo wa Songea,tunawafahamu!
Na mimi nakuuliza unaijua adhabu ya viherehere na wasaliti ni ipi!?Wenzenu Interahamwe walianza kuwaita wanyarwanda wenzao "Mende" kisha wakaanza kuwaua. Hapa siku hizi UVCCM kila anayeipinga CCM anaitwa msaliti na wenyewe wanaanza kuuliza "Mnaijua adhabu ya wasaliti ni nini?"
Yaani mnasisimka sana mnapoona damu za watanzania wenzenu zinapomwagwa na roho zao kutolewa.Na mimi nakuuliza unaijua adhabu ya viherehere na wasaliti ni ipi!?
Pambana na hali yako na niondoe mimi katika huo ujinga wako!
Msalimie Tl na vitisho vyetu uchwara.Yaani mnasisimka sana mnapoona damu za watanzania wenzenu zinapomwagwa na roho zao kutolewa.
Wasio na Imani ya kimungu wanawagwaya sisi tunaoamini ni lazima siku moja tutakufa tutaendelea kwaambia ukweli pamoja na vitisho vyenu uchwara!!
Na mimi nakuuliza unaijua adhabu ya viherehere na wasaliti ni ipi!?
Pambana na hali yako na niondoe mimi katika huo ujinga wako!
Damu za watu zimekulevya muda wote unatamani kuua.Pambana na hali yako na niondoe mimi katika huo ujinga wako!
Hopeless comments!The Bible says...''Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa...''.
Kimbari ilitokea kwa sababu Wananchi wa Rwanda walikosa maarifa hatimaye wakaangamia....You have got it coming whether you're CCM hooligan or a normal citizen. Bila shaka hakuna aliyekuwa anajua kuwa kungelitokea mauaji ya kimbari nchini Rwanda tarehe 7 April,1994 mpaka July,1994.
Rwandan genocide
".....The Rwandan genocide, also known as the genocide against the Tutsi, was a mass slaughter of Tutsi, Twa, and moderate Hutu in Rwanda, which took place between 7 April and 15 July 1994 during the Rwandan Civil War. Wikipedia
Rwandan genocide
Description
Deaths: 500,000–1,074,017 killed
Period: April 7, 1994 – July 1994
Perpetrators: Hutu-led government, Interahamwe and Impuzamugambi militias, Hutu neighbours
Defender: Rwandan Patriotic Front
Location: Rwanda
Target: Tutsi population, Twa, and moderate Hutus.
Kuna siku Historia itaandika maandishi kama haya yatayo wekwa kwenye mitandao duniani yakisomeka kama hivi:
Tanzania genocide
Description
The Tanzania genocide, also known as the genocide against......, was a mass slaughter of ......., and moderate.......in Tanzania, which took place between....... and....... during the Tanzania Civil War. Wikipedia
Deaths: ...............................killed
Period: .................................20xx.
Perpetrators: CCM -led government, UVCCM, and Greenguard militias,Chama Twawala neighbours
Defender: CCM Government.
Location: Tanzania
Target: All population against CCM and moderate Opposition parties.
Dash! Unajisikiaje mkuu kucomment hivo? Kila mtu akipambana na hali yake, tutaishia kuwa na taifa la nama gani? Jibu kwa hoja na wala usilete viroja.Pambana na hali yako na niondoe mimi katika huo ujinga wako!
Duuuu kuna sehemu umetajwa?
Wapinzani Ni wavumilivu sana..
Wametajwa wanaCCM na yeye kada kindakindaki!
Ni wavumulivu nakini pia ni waoga sana!