Watanzania tuizuie CCM kutuletea vita na mauaji

Allen Kilewella

Verified Member
Joined
Sep 30, 2011
Messages
12,121
Points
2,000

Allen Kilewella

Verified Member
Joined Sep 30, 2011
12,121 2,000
Historia inaonesha vita katika nchi nyingi za Afrika huanzishwa kwa chama kilichoko madarakani kudekezwa na vyombo vya dola na nchi kuwa na mahakama dhaifu.

Mauaji ya Kimbari ya Rwanda hayakuanzishwa na waliokuwa nje ya serikali bali yalianzishwa na watu waliokuwa wanaendesha serikali.

Wakati chama kilichokuwa madarakani cha Mouvement républicain national pour la démocratie et le développement -MRD kiliporuhusu Jumuiya yake ya vijana (Interahamwe)kuwasakama na baadae kuanza kuwaua wapinzani wa chama hicho, vyombo vya dola na Mahakama walishindwa kusimama upande wa wanaoonewa.

Ajabu ya Mungu hata viongozi wa wa dini nao kitu pekee walichokuwa wanafanya ni kuwaombea viongozi wao eti wawe watu wema. Nchi ikatekwa na muelekeo ukabadilishwa toka kuwa taifa badala yake ikawa ni nchi inayoongozwa kwa makali ya Upanga.

Hapa kwetu inaonekana CCM inaiteka nchi na kulielekeza taifa letu kwenye njia ya Maangamizi. Inaanza kujengeka hisia kwamba ukionewa na CCM hakuna jinsi utaweza kutetewa na chombo chochote cha dola wala mahakama.

Nayajua matukio ya watu kuonewa na watu wa CCM hakuna chombo cha dola wala mahakama vilivyoweza kuwasaidia watu hao. Unaweza kuwaza mtu anawezaje kutishia kumuua Lissu mitandaoni na Polisi wanapoambiwa wachukue hatua wanasema mwenye kuona amekwazwa aende mahakamani kushitaki. Kosa la jinai linaweza kupelekwa mahakamani na raia wa kawaida?

Kuna kila dalili na ushahidi kwamba watu wa CCM sasa wameota mapembe dhidi ya sheria zote za nchi hii. Wao wanaweza kufanya uovu ama jinai na wakaendelea kudunda mitaani.

Kuna kijana mmoja alipigwa kisu cha kifuani na vijana wa CCM anaowajua lakini polisi hawajawahi kuwakamata vijana hao wa CCM ingawa walishapewa majina yao mara tu baada ya tukio.

Watu wasio wana CCM wanajua ni kwa kiasi gani wanavumilia kutokutoa mawazo tofauti na CCM ili biashara zao ama kazi zao zisiharibiwe. CCM inaogopwa si na watu wabaya bali inaogopwa na watu wema wasio upande wao.

Ukiona maoni ya watu wa CCM kuhusu matukio kama ya kupotea kwa Diwani wa Kata ya Kagezi na aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kibondo, Ben saanane, Tundu Lissu, na wengineo unabaki kuishangaa mioyo waliyo nayo wana CCM.

CCM ni lazima izuiwe kuisambaratisha nchi yetu.
 
Allen Kilewella

Verified Member
Joined
Sep 30, 2011
Messages
12,121
Points
2,000

Allen Kilewella

Verified Member
Joined Sep 30, 2011
12,121 2,000
Msalimie mwenziyo wa Songea,tunawafahamu!
Wenzenu Interahamwe walianza kuwaita wanyarwanda wenzao "Mende" kisha wakaanza kuwaua. Hapa siku hizi UVCCM kila anayeipinga CCM anaitwa msaliti na wenyewe CCM wanaanza kuuliza "Mnaijua adhabu ya wasaliti ni nini?"
 
alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Messages
2,034
Points
2,000

alexelias

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2017
2,034 2,000
Wenzenu Interahamwe walianza kuwaita wanyarwanda wenzao "Mende" kisha wakaanza kuwaua. Hapa siku hizi UVCCM kila anayeipinga CCM anaitwa msaliti na wenyewe wanaanza kuuliza "Mnaijua adhabu ya wasaliti ni nini?"
Na mimi nakuuliza unaijua adhabu ya viherehere na wasaliti ni ipi!?
 
Allen Kilewella

Verified Member
Joined
Sep 30, 2011
Messages
12,121
Points
2,000

Allen Kilewella

Verified Member
Joined Sep 30, 2011
12,121 2,000
Na mimi nakuuliza unaijua adhabu ya viherehere na wasaliti ni ipi!?
Yaani mnasisimka sana mnapoona damu za watanzania wenzenu zinapomwagwa na roho zao kutolewa.

Wasio na Imani ya kimungu wanawagwaya sisi tunaoamini ni lazima siku moja tutakufa tutaendelea kwaambia ukweli pamoja na vitisho vyenu uchwara!!
 
alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Messages
2,034
Points
2,000

alexelias

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2017
2,034 2,000
Yaani mnasisimka sana mnapoona damu za watanzania wenzenu zinapomwagwa na roho zao kutolewa.

Wasio na Imani ya kimungu wanawagwaya sisi tunaoamini ni lazima siku moja tutakufa tutaendelea kwaambia ukweli pamoja na vitisho vyenu uchwara!!
Msalimie Tl na vitisho vyetu uchwara.
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Messages
4,300
Points
2,000

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2012
4,300 2,000
Pambana na hali yako na niondoe mimi katika huo ujinga wako!
The Bible says...''Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa...''.
Kimbari ilitokea kwa sababu Wananchi wa Rwanda walikosa maarifa hatimaye wakaangamia....You have got it coming whether you're CCM hooligan or a normal citizen. Bila shaka hakuna aliyekuwa anajua kuwa kungelitokea mauaji ya kimbari nchini Rwanda tarehe 7 April,1994 mpaka July,1994.
Rwandan genocide

".....The Rwandan genocide, also known as the genocide against the Tutsi, was a mass slaughter of Tutsi, Twa, and moderate Hutu in Rwanda, which took place between 7 April and 15 July 1994 during the Rwandan Civil War. Wikipedia

Rwandan genocide

Description
Deaths: 500,000–1,074,017 killed
Period: April 7, 1994 – July 1994
Perpetrators: Hutu-led government, Interahamwe and Impuzamugambi militias, Hutu neighbours
Defender: Rwandan Patriotic Front
Location: Rwanda
Target: Tutsi population, Twa, and moderate Hutus.

Kuna siku Historia itaandika maandishi kama haya yatayo wekwa kwenye mitandao duniani yakisomeka kama hivi:

Tanzania genocide
Description
The Tanzania genocide, also known as the genocide against......, was a mass slaughter of ......., and moderate.......in Tanzania, which took place between....... and....... during the Tanzania Civil War. Wikipedia

Deaths: ...............................killed
Period: .................................20xx.
Perpetrators: CCM -led government, UVCCM, and Greenguard militias,Chama Twawala neighbours
Defender: CCM Government.
Location: Tanzania
Target: All population against CCM and moderate Opposition parties.
 
magu2016

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Messages
1,537
Points
2,000

magu2016

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2017
1,537 2,000

Hopeless comments!
 
Forum statistics

Threads 1,379,952
Members 525,646
Posts 33,762,148
Top