Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
tanzania imejaa watoto wengi wa haramu wa kinyaruanda ambao utawaona comment zao ni kumsifia huyu muuaji na anayetawala kwa mkono wa chuma. dunia nzima inapiga kelele na huyu shetani isipokuwa mashetani wenzie kama Museveni(Mwizi mwenzake) labda na Kenyatta. wewe mjinga mabomu ya Kagame yakirindima baba yako,mama yako na wewe hamko salama
Wa wapi wewe?Wewe bataka kagame awachape wa tz coz mnajifanya eti nyie ndio giant wa vita kisa mlipiga idd amin, ninawakikishia sasa hivi dunia iko kidigital, nakuapia tutawabuza mpaka na hicho kiges chenu mnachojiringia, ngoja tukae vizuri na malawi na wapinzani muone km ujasikia rwanda niangoza kwa kuuza ges nje na tnzanite,