Bubu Msemaovyo
Platinum Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,550
Ni two way
traffic!!!!!nchi kwa raia halafu raia kwa nchi
kwa nini waliacha kuipenda???
Wewe pia ulitakiwa kueleza umuhimu wa watu kuwa wazalendo na kuchukua
hatua juu ya usalama wao na nchi kwa ujumla wake sio eti kwa sababu
watamdhuru rais!!!!!
Nadharia ya usalama ni pana na hapa ni kama vioe unasema usalama ni pale
pasipo na vurugu,vipi magonjwa,upatikanaji wa huduma muhimu,elimu na
hali ya mashule kwa ujumla????!!!
Ni mwanzo mzuri lakini kila mwanzo una mwanzo wake huu mwanzo wako pia
utafutie mwanzo wake!!!!!
Wewe bataka kagame awachape wa tz coz mnajifanya eti nyie ndio giant wa vita kisa mlipiga idd amin, ninawakikishia sasa hivi dunia iko kidigital, nakuapia tutawabuza mpaka na hicho kiges chenu mnachojiringia, ngoja tukae vizuri na malawi na wapinzani muone km ujasikia rwanda niangoza kwa kuuza ges nje na tnzanite,
Wewe bataka kagame awachape wa tz coz mnajifanya eti nyie ndio giant wa vita kisa mlipiga idd amin, ninawakikishia sasa hivi dunia iko kidigital, nakuapia tutawabuza mpaka na hicho kiges chenu mnachojiringia, ngoja tukae vizuri na malawi na wapinzani muone km ujasikia rwanda niangoza kwa kuuza ges nje na tnzanite,
tanzania imejaa watoto wengi wa haramu wa kinyaruanda ambao utawaona comment zao ni kumsifia huyu muuaji na anayetawala kwa mkono wa chuma. dunia nzima inapiga kelele na huyu shetani isipokuwa mashetani wenzie kama Museveni(Mwizi mwenzake) labda na Kenyatta. wewe mjinga mabomu ya Kagame yakirindima baba yako,mama yako na wewe hamko salama
kimsingi sisi raia tunatakiw atulinde usalama wetu kabla hata pilis na jeshi havijatulinda. tunalinda kwa kuhakikisha kwamba makazi yetu ni salama na tunaopoona mtu mgeni basi tunalazimika kuripot.
tatizo utakuta watu tunakumbatia wasomali, warundi, wanayarewanda kibao tukiona eti ni undugu ama ni dili kumbe ndo wanaoatuteka usiku na mchana humu njian na ndio wanaaongoza kwa kuharibu taifa hili kw akufoji hadi vitambulisho vyetu.
Usalama wa nchi yetu hauwezi kulindwa na jeshi pekee, sisi wananchi ni walinzi namba moja wa nchi hii. Nasema haya kwasababu hadi sasa kuna watu wanaipenda Tanzania ile mbaya kiasi wako tayari kutoa rushwa kupata vibali vya uraia. Sasa hivi kuna Wasomali waliojipenyeza na wanishi Temeke kama kwao, kuna Wanyarwanda ambao nina wasi wasi Kagame anaweza kuwatumia wamdhuru Mh Rais kama alivyoahidi katika video moja kuwa atamsubiria sehemu na ikiwa inafaa atampiga. Kelele za Kagame zisipuuzwe kwani kuwa na wakimbizi toka Rwanda inaweza kuwa mbinu ya kumdhuru Rais wetu. Hawa Wanyarwanda watimuliwe kwanza ndipo aina yoyote ya suluhu kati ya Kagame na JK iwepo vinginevyo ni sawa na mtu kucheza peku peku juu ya miiba, "Ngoma tamu, miiba michungu"
Aidha urejeshwe ule utaratibu wa zamani ambapo mabalozi wa nyumba kumi walikuwa na orodha za wakaaji wao nchi nzima na walihakikisha wanakuwa na orodha ya wakazi wao na hakuna raia mgeni aliingia eneo lake bila kujulikana. Turejeshe ulinzi wetu wa zamani, tuipende Tanzania.
Kwako
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete.
Pamoja na changamoto nyingi ulizonazo kama raisi na kiongozi wa jamuhuri
ya watu wa Tanzania.
Pamoja na kuwepo katika harakati mbalimbali za kuhakikisha Tanzania na
watanzania wote wanaishi kwa usalama na amani katika nchi ya Tanzania.
Kama watanzania wazalendo na wenye machungu na nchi yetu ni lazima
kutimiza wajibu wetu wa kuilinda nchi yetu na kuhakikisha hakuna yoyote
yule atakae kuwa na mamlaka ya kuiingilia Tanzania.
Wazee wetu na baba zetu waliweza kuzitoa roho zao katika miaka ya sabini
na kuhakikisha wanailinzda ardhi ya Tanzania na kuitetea,japo wengine
walibaki vilema,mayatima,wajane na wengine leo hii roho zao zimelala
kaboya na wengine hawajulikani ni sehemu gani miili yao ilipopotelea
kutokana tu na uzalendo wao waliokuwa nao dhidi ya nchi yetu ya
Tanzania.
Walijitoa muhanga kuhakikisha kuwa mipka yetu inaheshimika.
Ndugu raisi Kikwete.
Tunakuahidi kuwa na wewe pamoja katika hali yoyote dhidi ya maadui
wowote watakao jaribu kuichezea Tanzania,tunakuahidi kukupa ulinzi na
kuyaheshimu mawazo na maamuzi yako pale tu maadui au watu wachache
watakapo jaribu kuichezea Tanzania.
Hatutoona aibu wala haya kuchukua maamuzi magumu kama yale alochukua
mwalimu nyerere na vijana wake katika kumfyeka Amini.
Ndugu raisi,tupo pamoja na wewe katika hali yoyote ile na wala usione
aibu wala uoga kuisemea Tanzania
onyesha uzalendo wako,ushajaa na ujasiri wako katika kuilinda na
kuiheshimu mipaka ya Tanzania.
Ahadi yetu ni kuwa nyuma yako katika kuilinzda nchi yetu.
gud afternoon teeeacher!!!
Lakini historia inaonesha yote haya yalikuwepo kama nina taarifa sahihi.
Pamoja na globalization effects wapi tuliteleza mpaka watu wakapoteza uaminifu kwa nchi yao na kuanza kukumbatia wageni??? Hii haikuja overnight na haiwezi kuondoka by a mere sunrise and set epochs!!!
Tunaweza kuwa na immediate measures for the time being lakini attitude huwezi ibadili kwa muda mfupi na ghafla!!!!
Hi ni alarm tu kuwa kuna mlango haujafungwa,lakini haimaanishi ukishafungwa basi wote tuko salama ndani ya kipando!!!!
My take;siasa imeharibu sana nchi yetu watu wako/ tuko busy na cdmvsccm kiasi kwamba tumesahau mambo ya msingi oabisa ambayo ndio yanazaa uwepo wa vyama vya siasa.
Ni kama wawindaji waliokosana na kujeruhiana halafu mwisho wa siku wote wakaliwa na simba!!!!
Hatujachelewa sana ila tuanze kutekeleza utaifa kwanza siasa baadae
Usalama wa nchi yetu hauwezi kulindwa na jeshi pekee, sisi wananchi ni walinzi namba moja wa nchi hii. Nasema haya kwasababu hadi sasa kuna watu wanaipenda Tanzania ile mbaya kiasi wako tayari kutoa rushwa kupata vibali vya uraia.
Sasa hivi kuna Wasomali waliojipenyeza na wanishi Temeke kama kwao, kuna Wanyarwanda ambao nina wasi wasi Kagame anaweza kuwatumia wamdhuru Mh Rais kama alivyoahidi katika video moja kuwa atamsubiria sehemu na ikiwa inafaa atampiga. Kelele za Kagame zisipuuzwe kwani kuwa na wakimbizi toka Rwanda inaweza kuwa mbinu ya kumdhuru Rais wetu. Hawa Wanyarwanda watimuliwe kwanza ndipo aina yoyote ya suluhu kati ya Kagame na JK iwepo vinginevyo ni sawa na mtu kucheza peku peku juu ya miiba, "Ngoma tamu, miiba michungu"
Aidha urejeshwe ule utaratibu wa zamani ambapo mabalozi wa nyumba kumi walikuwa na orodha za wakaaji wao nchi nzima na walihakikisha wanakuwa na orodha ya wakazi wao na hakuna raia mgeni aliingia eneo lake bila kujulikana. Turejeshe ulinzi wetu wa zamani, tuipende Tanzania.
good afternoon brodah!!!!!!!!!
U have said it correct dude................kwakuongezea tu hapo yatupasa sote kama raia wa nchi hii tuweke chini siasa tutangulize utaifa wetu mbele.