Watanzania tufanye kazi

Kigodoro

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,660
1,679
Kumeibuka mtindo sasa wa kulalamika kuwa JPM anaharibu uchumi. Kuna threads kibao humu zikilaumu mbinu anazotumia JPM kuendesha uchumi zinafanya maisha kuwa magumu.
Jamani ni juzi tu taarifa za utafiti zimetolewa na kuonyesha 71% ya watanzania hawafanyi kazi za uzalishaji mali.
Hii dhana ya kutoka kimaisha kisanii sanii, kimagumashi maguamashi itatugharimu watanzania.
Kazi kama:-
-msuguaji na mpaka rangi za kucha
-dalali wa vyumba/viwanja na nyumba
-wakala wa mabasi
-wapiga debe
-wauza karanga
-wauza maji
-Boda Boda
-wasomi wanao randa randa na vyeti
Hawa wanapoteza nguvukazi ya uzalishaji mali ktk shughuli za mashambani ambazo zingelivusha taifa hili haraka sana.
Tufanye Nazi tuache kuishi kimazingaombwe.
 
Back
Top Bottom