Inno laka
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 1,616
- 584
Habari wana JF,
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifanya nione mwaka huu wa 2017, wapo wengi tuliwaacha na pia kuna wengine wapo mahospitalini.
Nimekuwa nikipitia post na comment mbali mbali, nilichogundua tunashindwa kuwa wazarendo penye ukweli lazima tuseme. Sasa si muda wa watu kupiga blah blah! Watu wafanye kazi tunakila sababu ya kufanya kazi , kila mtu awe messi sehemu anayotafutia riziki yake. Kama ni mfanyabiashara, mkulima, mvuvu n.k ufanye kazi kweli kweli.
Naungana na Mh Rais kabisa kwa asilimia 100% Tanzania hakuna njaa na njaa haipo ipo tu midomoni mwa wanasiasa makajanja, tufanye kazi tutafute hicho chakula watu wanapiga kelele ni kweli kabisa serikali haiwezi kufanya kila kitu hadi na msosi tupewe kweli?
Nakumbuka miaka kadhaa tuliwahi kuletewa mahindi ya msaada na serikali,, nyumbani tulikuwa watu 9 lakini tulipata hata debe halikufika? Hivi kweli Mzee angeshindwa kulitafuta debe hilo mpaka serikali imletee..hapana hapana kuna watu wao kila kitu ni kupinga tu kumbe huwa wanapewa pesa.
Tusikubali kuwa na Taifa la watu was I of man