Watanzania tuache kusoma hizi Course (Kozi) supply imekuwa kubwa Kuliko demand

Falsafa ya adolf hitrer katika ELIMU mm nili mwelewa Sana Japo haifundishw mashuleni......

ELIMU iendane na mazingira pia iwe Too practical.....Sio uo u engineer wa kukariri notice na kujibu mitiani.....

Kuna ma engineer fresher walikua wanakabiziwa kwa mzee wangu awafundishe kazi yaani ni weupe kichwani mpk mzee alikua anajiulizia wamefaulu fauluje huko vyuoni...
 
Ifike Mahala WATANZANIA tuache Kusomea

Ualimu,
Human Resource
Economics
Law
Procurement and supply,
Secretary
Banking and Finance,
Community Development,
Public Relation,
Business Administration,
Record Management
Sociology
Sales marketing
Education
Business Management.

Supply imekuwa kubwa mno kuliko Demand
Kwenda kusomea hizi Course kwa sasa ni Kupoteza Hela na Mda wako tu

Supply ni Kubwa sana Na kila Mwaka inaongezeka Kuliko Demand
Ajira zimekuwa ngumu kupatikana cz watu wengi wamesomea vitu vile vile common miaka yote na vingine technology imetake place

hali ni mbaya vijana wanapoteza mda na hela kusomea vitu ambavyo haviwasaidii cz kila mtu kasoma hivo vitu, Vijana wanachoma mahindi kwasabab ya kusomea Course ambazo zina supply kubwa sana kuliko Demand

Ushauri kwa Wadogo zangu angalieni na Course za kusoma sio unasoma ilimradi umesoma then unakuja kuteseka mtaani ajira hakuna

Unakuta mtu anasomea Human Resource au Procurement and supply kwa sasa then anategemea kuajiriwa wakati Supply ni Kubwa kuliko Demand then ukiangalia hizo faculty Technology imetake place

Ni Moja ya Cha Chanzo cha Ukosefu wa Ajira Kwa Tanzania, Watu wanasoma vitu vile vile ambavyo kila mtu amesoma miaka nenda rudi Kwa style hii Kazi za kuwaajiri wote zitatokea wapi.
WEKA na mbadala wasome Nini?
 
Mie watoto wangu mkubwa ana miaka 9 ila ameanza kujifunza kuwa mtaalam wa computer nataka awe programmer wa Software au Software Developer kwa mkubwa, mdogo atasomea IT/cyber security na Binti atasomea sheria,nikipata wa 4 basi huyu atakuwa mtu Data Science au kozi ambayo ni utundu wa computer. Hawa wameanza sasa hivi. Ni mchakato wangu kama Mzazi sihitaji waajiriwe kwahiyo sihitaji formality. Haya mambo ya kuwaacha watoto hadi wanafika wakubwa ndio wanajikuta wanaangukia maeneo kama hayo.
 
Falsafa ya adolf hitrer katika ELIMU mm nili mwelewa Sana Japo haifundishw mashuleni......

ELIMU iendane na mazingira pia iwe Too practical.....Sio uo u engineer wa kukariri notice na kujibu mitiani.....

Kuna ma engineer fresher walikua wanakabiziwa kwa mzee wangu awafundishe kazi yaani ni weupe kichwani mpk mzee alikua anajiulizia wamefaulu fauluje huko vyuoni...
Hio ni pragmatism education philophy ambayo waasisi wake ni John Dewey ( USA) na Mwl. J. K Nyerere na Nyerere ndie alieanzisha technical school ifunda, iyunga Moshi tec Kwa hapa kwetu Tanzania Ili kuwawezesha wanafunzi especial ly engineer wajifunze Kwa vitendo pia hata katika shule zaman kulikuwa na mashamba kwamba unapojifunza kilimo ujifunze na Kwa vitendo pia pia alieanzisha education for self reliance (ESR) ktk azimio la Arusha Mimi naona ni wakati Sasa kama taifa kukaa kurekebisha kile ambacho Mwl alikianza Kwa kulingana na dunia ya utandawazi . Serikali pia ifufue viwanda na technical collage Ili kuipa amasa primary economic sectors hii itasaidia kulikabili tatizo la ajira ambalo ni global problem
 
Ni kweli kabisa mkuu.
Ni lazima tuwekeze nguvu kwenye sciences na engineering. Tuanzishe assembling industries na centers of excellence in science and technology ili tuongeze wigo wa ajira mpya
 
Unafahamu kweli law of demand and supply? Walau ungetumia the Law of Diminishing Marginal returns kueleza Labor ikiwa supplied kuliko Capital inavyokua then kuna shida hapo and n.k

Kwanini nasema hivo? Tuchukulie sheria je hakuna demand ya msaada wa kisheria mtaani? Mfano tu kwenye sheria mtu anaweza specialize labda asomee competition law ama Taxation law mbona zina market sana coz at least lila mfanyabiashara atahitaji hizo huduma.

Hata mtaani tu watu wanaweka bidhaa ya aina moja kwenye fremu hizo hizo wengine wanaiga mpka brand ya bidhaa zingine ili kuibiana wateja zote hizo ni fursa kwa competition/Anti-Trust lawyers kuingiza mpunga.

Kwa hiyo demand ya hayo masuala bado yapo juu MTAANI ila kwenye SOKO LA AJIRA ndio demand ni ndogo. So kama waliosoma hizo course wata deal zaidi na kuangalia fursa zilozopo MTAANI yaani kwa kujiajiri au wakaungana hta 10 kufungua kampuni la profession husika then wao ndio wataongeza DEMAND ya huduma na eventually excess supply itakua offset.

NOTE: Kuna tofauti ya Nafasi za kazi (kuajiriwa) na Fursa ya Ajira (Kujiajiri)
Umeongea point sana

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Mie watoto wangu mkubwa ana miaka 9 ila ameanza kujifunza kuwa mtaalam wa computer nataka awe programmer wa Software au Software Developer kwa mkubwa, mdogo atasomea IT/cyber security na Binti atasomea sheria,nikipata wa 4 basi huyu atakuwa mtu Data Science au kozi ambayo ni utundu wa computer. Hawa wameanza sasa hivi. Ni mchakato wangu kama Mzazi sihitaji waajiriwe kwahiyo sihitaji formality. Haya mambo ya kuwaacha watoto hadi wanafika wakubwa ndio wanajikuta wanaangukia maeneo kama hayo.
Omba wasije kubadilika, mpaka kufikia hizo ndoto, hapa katikati kuna changamoto nyingi watakutananazo

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Mie watoto wangu mkubwa ana miaka 9 ila ameanza kujifunza kuwa mtaalam wa computer nataka awe programmer wa Software au Software Developer kwa mkubwa, mdogo atasomea IT/cyber security na Binti atasomea sheria,nikipata wa 4 basi huyu atakuwa mtu Data Science au kozi ambayo ni utundu wa computer. Hawa wameanza sasa hivi. Ni mchakato wangu kama Mzazi sihitaji waajiriwe kwahiyo sihitaji formality. Haya mambo ya kuwaacha watoto hadi wanafika wakubwa ndio wanajikuta wanaangukia maeneo kama hayo.

Pambana kuwapika ila ukizembea tu Kidogo anaenda kusomea Literature
 
Back
Top Bottom